Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Rais Barham Salih wa Iraq: Mfumo wowote wa eneo hili hauwezi kuipuuza Iran

    Rais Barham Salih wa Iraq: Mfumo wowote wa eneo hili hauwezi kuipuuza Iran

    Apr 02, 2019 20:47

    Rais Barham Salih wa Iraq amesema kuwa, hakuna mfumo wowote mpya katika eneo la Asia Magharibi unaoweza kuipuuza Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, kama ambavyo hauwezi pia kufumbia macho umuhimu wa taifa la Iraq.

  • Uturuki yawapiga kalamu nyekundu wagombea karibu 400 kwa tuhuma za kuwa wafuasi wa Fethullah Gülen

    Uturuki yawapiga kalamu nyekundu wagombea karibu 400 kwa tuhuma za kuwa wafuasi wa Fethullah Gülen

    Mar 26, 2019 22:09

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Uturuki ametangaza kwamba tume ya uchaguzi ya nchi hiyo imefuta majina karibu 400 ya wagombea wa uchaguzi wa mabaraza ya miji na mabaraza ya mikoa kwa tuhuma za kuwa na mahusiano na kundi la Fethullah Gülen au kundi la Wakurdi la PKK.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki: Amani ndio msingi wa dini ya Uislamu

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki: Amani ndio msingi wa dini ya Uislamu

    Mar 23, 2019 09:18

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa kuimarishwa usalama na amani ndio msingi wa dini tukufu ya Uislamu.

  • Taarifa ya kikao cha dharura cha OIC yataka Machi 15 iwe Siku ya Kimataifa ya Kupambana na uenezaji chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Taarifa ya kikao cha dharura cha OIC yataka Machi 15 iwe Siku ya Kimataifa ya Kupambana na uenezaji chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Mar 22, 2019 23:01

    Kikao cha dharura cha Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) kilichofanyika mjini Istanbul, Uturuki kwa madhumuni ya kuzungumzia shambulio la kigaidi la hivi karibuni dhidi ya Waislamu waliokuwa katika Sala ya Ijumaa kwenye misikiti miwili nchini New Zealand kimemalizika kwa kutolewa taarifa maalumu.

  • Uturuki: Matamshi ya Trump juu ya udhibiti wa Israel kwa milima ya Golan ya Syria, ni uchokozi

    Uturuki: Matamshi ya Trump juu ya udhibiti wa Israel kwa milima ya Golan ya Syria, ni uchokozi

    Mar 22, 2019 09:25

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amepinga vikali njama za Marekani za kujaribu kutambua rasmi kuwa utawala haramu wa Kizayuni unayo haki ya kudhibiti miinuko ya Golan ya Syria. Akijibu matamshi ya Trump, Rais Erdoğan amesema kuwa matamshi hayo ya rais wa Marekani yatapalekea kushtadi machafuko katika eneo la Asia Magharibi.

  • Radiamali kali ya Russia kufuatia kushtadi mashinikizo ya Marekani kwa Uturuki kuhusu ngao ya S 400

    Radiamali kali ya Russia kufuatia kushtadi mashinikizo ya Marekani kwa Uturuki kuhusu ngao ya S 400

    Mar 10, 2019 07:56

    Uhusiano wa Marekani na Uturuki katika miaka ya hivi karibuni, yaani baada ya kujiri mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli ya tarehe 15 Julai 2016, umekuwa na mizozo mingi.

  • Erdogan: Marekani imekasirishwa na Uturuki huru

    Erdogan: Marekani imekasirishwa na Uturuki huru

    Mar 10, 2019 04:01

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema Marekani inaishinikiza nchi yake iache kununua silaha za Russia kwa sababu wakuu wa Washington wamekasirishwa na sera za Ankara za kujitegemea.

  • India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    India na Uturuki, shabaha mpya za vita vya kiuchumi vya Trump

    Mar 06, 2019 02:28

    Rais wa Marekani, Donald Trump anaendeleza mashambulizi na vita vyake vya kibiashara dhidi ya mataifa mengine duniani kupitia kuziongezea ushuru bidhaa za kigeni zinazoingia Marekani na hivyo kusababisha vurugu kubwa katika miamala ya kibiashara ya kimataifa.

  • Erdogan aapa kufuatilia mauaji ya Khashoggi katika mahakama ya kimataifa

    Erdogan aapa kufuatilia mauaji ya Khashoggi katika mahakama ya kimataifa

    Feb 16, 2019 04:29

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema nchi yake iko mbioni kupeleka kesi ya mauaji ya mwanahabari mpinzani wa utawala wa Saudia Jammal Khasoggi katika mahakama ya kimataifa.

  • Viongozi wa Russia, Iran na Uturuki watoa taarifa mwishoni mwa kikao chao cha mjini Sochi

    Viongozi wa Russia, Iran na Uturuki watoa taarifa mwishoni mwa kikao chao cha mjini Sochi

    Feb 14, 2019 23:22

    Viongozi wa nchi tatu za Iran, Russia na Uturuki wamesisitiza kuhusu azma yao ya kuimarisha ushirikiano kwa ajili ya kupeleka mbele gurudumu la mchakato wa kisiasa nchini Syria, kurejeshwa makwao wakimbizi na kuijenga upya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS