-
Uturuki yaitaka China ifunge vituo vya kuwazuilia Waislamu wa Uighur
Feb 10, 2019 09:54Serikali ya Uturuki imetaja miamala ya China kwa Waislamu wa jamii ya Uighur kama fedheha kwa ubinadamu, huku ikiitaka ifunge vituo vilivyotengwa makhsusi kwa ajili ya kuwazuilia watu wa jamii hiyo ya walio wachache.
-
Uturuki: Tunashindwa kuelewa kwa nini Marekani inanyamazia kimya mauaji ya Khashoggi
Feb 04, 2019 04:24Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa, anashindwa kuelewa ni kwa nini Marekani inaendelea kunyamazia kimya mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi, raia wa Saudi Arabia aliyeuliwa kinyama katika ubalozi mdogo wa nchi hiyo wa mjini Istanbul Uturuki.
-
Afisa wa Uturuki: UN inaamini bin Salman ni mshukiwa mkuu wa mauaji ya Khashoggi
Feb 03, 2019 12:32Timu ya upelelezi ya Umoja wa Mataifa inaamini kuwa, mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia, Mohammed bin Salman, maarufu kama MbS, ndie mshukiwa mkuu katika mauaji mwandishi wa habari wa Saudia, Jamal Khashoggi, ambae aliuawa kikatili katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia huko Istanbul Uturuki.
-
Marekani yaitisha Uturuki isithubutu kushirikiana na serikali halali ya Venezuela
Feb 02, 2019 04:51Katika kuendeleza uingiliaji wake katika siasa za nje za Uturuki, Marekani imeionya Ankara dhidi ya kushirikiana na serikali halali ya Venezuela.
-
Uturuki kupeleka kadhia ya mauaji ya Khashoggi katika Umoja wa Mataifa
Jan 25, 2019 01:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa umewadia wakati wa kufanyika uchunguzi wa kimataiifa kuhusu mauaji ya mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.
-
Uturuki yasema haibabaishwi na vitisho vya Trump
Jan 14, 2019 23:11Waziri wa Mambo ya Nje ya Uturuki Mevlüt Çavuşoğlu amesema nchi hiyo haibabaishwi wala kutiwa kiwewe na kauli ya vitisho ya Rais Donald Trump kwamba Marekani itausabababishia matatizo uchumi wa Ankara.
-
Tishio kali la Trump dhidi ya Uturuki
Jan 14, 2019 09:42Baada ya Rais Donald Trump wa Marekani kutangaza hapo tarehe 19 mwezi Disemba mwaka jana uamuzi wa kuondoa askari vamizi wa nchi hiyo huko Syria, baadhi ya wachambuzi wa mambo waliuchukulia uamuzi huo kuwa sehemu ya juhudi zake za kutaka kuiridhisha Uturuki.
-
Taarifa ya mwisho ya Kikao cha 5 cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa Iran na Uturuki
Dec 21, 2018 01:10Marais wa Iran na Uturuki wamesisitiza katika taarifa ya mwisho ya Kikao cha 5 cha Baraza Kuu la Uhusiano wa Kistratijia wa nchi hizo mbili umuhimu wa kuchukuliwa hatua za dharura za kufanikisha biashara yenye thamani ya dola bilioni 30 kwa mwaka kati ya pande hizo mbili.
-
Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja
Dec 20, 2018 12:16Rais Hassan Rouhani amesema: Hatua ilizochukua Marekani dhidi ya Iran ni za kigaidi kwa asilimia mia moja, kwa sababu nchi hiyo inazitisha nchi nyingine zisitekeleze azimio nambari 2231, zisifanye biashara huru wala kutekeleza matakwa ya wananchi wao, mashirika na wadau wa kiuchumi.
-
Safari ya Uturuki ya Rais Rouhani; Mwanzo Mpya wa Ushirikiano wa Kistratijia
Dec 20, 2018 03:49Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili mjini Ankara nchini Uturuki akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa akiitikia mwaliko wa Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.