Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja

    Rais Rouhani: Vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Iran, ni hatua ya kigaidi kwa asilimia mia moja

    Dec 20, 2018 12:16

    Rais Hassan Rouhani amesema: Hatua ilizochukua Marekani dhidi ya Iran ni za kigaidi kwa asilimia mia moja, kwa sababu nchi hiyo inazitisha nchi nyingine zisitekeleze azimio nambari 2231, zisifanye biashara huru wala kutekeleza matakwa ya wananchi wao, mashirika na wadau wa kiuchumi.

  • Safari ya Uturuki ya Rais Rouhani; Mwanzo Mpya wa Ushirikiano wa Kistratijia

    Safari ya Uturuki ya Rais Rouhani; Mwanzo Mpya wa Ushirikiano wa Kistratijia

    Dec 20, 2018 03:49

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana Jumatano aliwasili mjini Ankara nchini Uturuki akiongoza ujumbe wa ngazi za juu wa kisiasa akiitikia mwaliko wa Rais Recep Tayyip Erdoğan wa nchi hiyo.

  •  Erdogan: Muuaji wa Khashoggi alisikika akisema 'Najua Namna ya Kukata'

    Erdogan: Muuaji wa Khashoggi alisikika akisema 'Najua Namna ya Kukata'

    Dec 15, 2018 11:07

    Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amefichua kuwa katika sehemu ya faili la sauti kuhusu mauaji ya Jamal Khashoggi, mmoja kati ya wauaji wa mpinzani huyo wa utawala wa Saudia alisikika akijigamba kuwa, 'Najua namna ya kukata.'

  • Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa

    Mkutano wa maspika wa mabunge ya nchi sita wamalizika mjini Tehran kwa kutoa taarifa

    Dec 08, 2018 12:07

    Maspika wa mabunge ya nchi sita za Iran, Russia, Uturuki, China, Pakistan na Afghanistan umemalizika leo hapa mjini Tehran kwa taarifa ya pamoja ya kuimarisha uhusiano katika kupambana na ugaidi na kuongeza ushirikiano wao wa kieneo.

  • Mauaji ya Kashoggi; Uturuki yatoa waranti wa kukamatwa wapambe wa Bin Salman

    Mauaji ya Kashoggi; Uturuki yatoa waranti wa kukamatwa wapambe wa Bin Salman

    Dec 05, 2018 23:14

    Mwendesha Mashitaka Mkuu wa mji wa Istanbul nchini Uturuki ametoa waranti wa kutiwa nguvuni wapambe wawili wa karibu wa Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia, kwa tuhuma za kupanga mauaji ya Jamal Khashoggi, aliyekuwa mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud.

  • Iran na Uturiki zahimizwa kukabiliana na ugaidi na propaganda chafu dhidi ya Uislamu

    Iran na Uturiki zahimizwa kukabiliana na ugaidi na propaganda chafu dhidi ya Uislamu

    Dec 05, 2018 04:39

    Mkuu wa Jumuiya ya Masuala ya Dini nchini Uturuki amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki ambazo ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati zinapaswa kuzidisha ushirikiano kwa ajili ya kupambana na ugaidi na njama zinazoeneza propaganda za kuchafua sura safi ya Uislamu.

  • Iran na Uturuki zahimiza kufanikishwa biashara ya dola bilioni 30 baina yao

    Iran na Uturuki zahimiza kufanikishwa biashara ya dola bilioni 30 baina yao

    Nov 30, 2018 01:03

    Maspika wa mabunge ya Iran na Uturuki wamesisitizia haja ya kufanikishwa biashara ya dola bilioni 30 baina ya nchi zao.

  • Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Sisitizo la Umoja wa Ulaya na Uturuki la kuendelea kushirikiana na Iran

    Nov 24, 2018 08:18

    Hatua ya rais wa Marekani, Donald Trump ya kuiondoa nchi hiyo katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuiwekea tena Iran vikwazo imepingwa vikali na nchi nyingine wanachama wa makubaliano hayo ya JCPOA yaani kundi la 4+1.

  • Uturuki: Maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi, hayatoshi

    Uturuki: Maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi, hayatoshi

    Nov 16, 2018 01:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki, Mevlüt Çavuşoğlu amekosoa maelezo ya Mwanasheria Mkuu wa Saudi Arabia kuhusiana na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud mjini Istanbul na kuongeza kwamba maelezo hayo hayatoshi kabisa.

  • "Saudia ilitumia programu ya udukuzi ya Israel kumfuatilia Kashoggi"

    Nov 08, 2018 11:49

    Edward Snowden, afisa wa zamani wa Shirika la Usalama wa Taifa la Marekani (NSA) amefichua nafasi ya utawala haramu wa Israel katika mauaji ya kikatili ya mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi yaliyofanywa na Riyadh nchini Uturuki mwezi uliopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS