-
Jamii ya kimataifa yazidisha mashinikizo dhidi ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 26, 2018 01:19Jamii ya kimataifa imezidisha mashinikizo dhidi ya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia ambao umekiri kwamba maafisa wake walimuua mwandishi na mkosoaji wa utawala huo, Jamal Khashoggi zaidi ya wiki mbili zilizopita mjini Istanbul, Uturuki.
-
Rouhani: Saudia haiwezi kufanya jinai kubwa kama ya kumuua Khashoggi bila ya uungaji mkono wa Marekani
Oct 24, 2018 13:32Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani mauaji ya mwandishi na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi na kusema kuwa, misimamo ya nchi mbalimbali duniani dhidi ya mauaji hayo ni mtihani mkubwa kwa nchi zinazodai kutetea haki za binadamu hususan Marekani na nchi za Ulaya.
-
Uturuki: Mikono ya Bin Salman imeroa damu ya Jamal Khashoggi
Oct 24, 2018 13:31Mshauri wa Rais Recep Tayyip Erdogan wa Uturuki amesema kuwa mikono ya Mohammed bin Salman mrithi wa kiti cha ufalme wa Saudi Arabia ina damu ya mwandishi habari mkosoaji Jamal Khashoggi.
-
Erdogan: Mauaji ya Khashoggi yalipangwa, wahusika washtakiwe Istanbul
Oct 23, 2018 10:59Rais Recep Tayyib Erdogan wa Uturuki amesema watu wote waliohusika na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji mkubwa wa utawala wa Saudi Arabia wanapashwa kubebeshwa dhima na kesi zao zinapaswa kusikilizwa mjini Istanbul.
-
Masaa machache yajayo, Rais wa Uturuki kutoa hotuba ya kufichua kila kitu kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 23, 2018 03:25Rais Recep Tayyib Erdogan wa Uturuki leo anatarajiwa kutoa hotuba ya kufichua kile alichokiita ni ukweli kamili kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi.
-
Mshauri wa Rais wa Uturuki apinga riwaya ya Saudia kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 22, 2018 12:53Mshauri wa Rais wa Uturuki amepinga madai yaliyotolewa na Saudi Arabia kuhusu mauaji ya mwanadishi na mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo Jamal Khashoggi huku nchi za Magharibi zikiendelea kutilia shaka taarifa ya Riyadh kuhusu mauaji hayo.
-
Uturuki yasema haikubaliani na 'funika-funika' mambo ya Saudia kuhusu Khashoggi
Oct 20, 2018 12:58Msemaji wa chama tawala cha Justice and Development Party (AK Party) cha Rais Recep Tayyid Erdogan wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haikubaliani na juhudi za kufunika funika na kuficha ukweli kuhusu mauaji ya mwandishi wa habari Jamal Khashoggi katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul na kwamba itatumia mbinu zake zote kuhakikisha kuwa ukweli wote unafichuliwa kuhusu mauaji hayo.
-
Dunia yatoa radiamali baada ya Saudia kukiri kumuua Jamal Khashoggi
Oct 20, 2018 04:34Saa chache baada ya Saudi Arabia kukiri kuwa Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa Aal-Saud ameuawa katika ubalozi mdogo wa Saudia mjini Istanbul nchini Uturuki, taasisi na viongozi mbalimbali wa kimataifa wametoa taarifa za kulaani mauaji hayo ya kikatili.
-
Iran, Uturuki, Russia na India zaitisha kikao Ankara kuipiga teke sarafu ya dola ya Marekani
Oct 19, 2018 21:39Kikao cha "Changamoto na Fursa za Biashara kwa Fedha za Taifa" kilifanyika jana Ijumaa mjini Ankara Uturuki na kushirikisha maafisa na wataalamu kutoka nchi za Iran, Uturuki, Russia na India.
-
Anayetuhumiwa kumuua Khashoggi aaga dunia katika ajali ya kutatanisha Saudia
Oct 18, 2018 10:00Mmoja wa watu 15 wanaotuhumiwa kuhusika katika mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud, ameripotiwa kufariki dunia katika 'ajali' ya barabarani ya kutatanisha nchini Saudi Arabia.