-
Balozi mdogo wa Saudia nchini Uturuki atoroka usiku usiku, Bin Salman apata pigo jingine
Oct 17, 2018 08:54Balozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul, Mohammed al-Otaibi ametoroka usiku kutoka Uturuki na kuelekea Riyadh.
-
Uingereza, Ufaransa na Ujerumani zataka ufanyike "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu mauaji ya Khashoggi
Oct 15, 2018 00:17Mawaziri wa mambo ya nje wa Uingereza, Ufaransa na Ujerumani wametoa taarifa ya pamoja wakiitaka Saudi Arabia na Uturuki zifanye "uchunguzi wa kuaminika" kuhusu kutoweka kwa mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Aal Saud.
-
Uturuki: Tuna mkanda unaothibitisha Saudia imemuua Khashoggi
Oct 12, 2018 13:42Afisa mmoja wa masuala ya usalama wa Uturuki amesema kuwa, kuna mkanda wa sauti na video unaothibitisha kuwa mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa kifalme wa Saudi Arabia, Jamal Khashoggi ameuawa ndani ya ubalozi wa nchi hiyo nchini Uturuki.
-
Iran na Uturuki zasisitiza kushirikiana katika kupambana na ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya
Oct 12, 2018 00:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zimesisitiza juu ya azma yao ya kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi na magendo ya madawa ya kulevya.
-
Makumi ya wajahiri wahofiwa kufa maji pwani ya Uturuki
Oct 10, 2018 10:49Makumi ya wahajiri wanahofiwa kupoteza maisha baada ya boti yao kuzama katika pwani ya Uturuki ya Aegean.
-
Larijani: Matatizo ya dunia ni matokeo ya hatua za upande mmoja za Marekani
Oct 09, 2018 13:02Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema matatizo ya dunia ni matokeo ya hatua za upande mmoja za Marekani na amezitaka nchi zote ziungane kukabiliana na hatua za aina hiyo za uvukaji mipaka ya sheria na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja.
-
AI: Jamii ya kimataifa ifuatilie mauaji ya mwandishi habari Msaudi
Oct 08, 2018 11:00Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeitaka jamii ya kimataifa isinyamazie kimya ukandamizaji unaofaywa na serikali ya Saudi Arabia dhidi ya wapinzani wa nchi hiyo na iishinikize serikali ya Riyadh kwa ajili ya kuweka wazi faili la mwandishi habari wa nchi hiyo aliyetoweka kwa njia ya kutatanisha.
-
Spika wa Bunge la Iran awasili Uturuki kushiriki mkutano wa Eurasia
Oct 08, 2018 10:39Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amewasili katika mji wa Antalya nchini Uturuki kwa ajili ya kushiriki katika Mkutano wa 3 wa Mabunge ya Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Kiuchumi ya Eurasia.
-
UN: Jamii ya Kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya Jamal Khashoggi
Oct 08, 2018 04:14David Kaye, ripota maalumu wa Umoja wa Mataifa wa uhuru wa maoni na kujieleza amesema kuhusiana na mauaji ya Jamal Khashoggi, mwandishi wa habari mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia aliyeuliwa katika ubalozi mdogo wa nchi hiyo mjini Istanbul, Uturuki, kwamba jamii ya kimataifa haitalifanya kuwa jambo jepesi faili la mauaji ya mwandishi huyo wa habari.
-
Polisi ya Uturuki: Mwandishi habari, Khashoggi ameuawa katika ubalozi wa Saudia
Oct 06, 2018 23:41Duru za kuaminika nchini Uturuki zimesema huenda mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Aal-Saud Jamal Khashoggi aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuingia katika ubalozi mdogo wa Saudi Arabia mjini Istanbul Jumanne iliyopita ameuawa.