Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uturuki

  • HRW: Saudia iweke na uwazi kuhusu mwandishi habari Jamal Khashoggi

    HRW: Saudia iweke na uwazi kuhusu mwandishi habari Jamal Khashoggi

    Oct 06, 2018 03:46

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limeitaka Saudi Arabia iwe na sera za wazi kuhusu mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa nchi hiyo Jamal Khashoggi aliyetoweka katika mazingira ya kutatanisha baada ya kuingia katika ubalozi wa Saudi Arabia nchini Uturuki.

  • Waturuki waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru Jamal Khashoggi

    Waturuki waandamana mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru Jamal Khashoggi

    Oct 06, 2018 01:22

    Raia wa Uturuki wamefanya maandamano mbele ya ubalozi wa Saudia wakitaka kuachiliwa huru mwandishi wa habari wa Saudia ambaye ametoweka kwa siku kadhaa sasa.

  • Uturuki yamuita balozi wa Saudi Arabia baada ya mwandishi wa habari kutoweka

    Uturuki yamuita balozi wa Saudi Arabia baada ya mwandishi wa habari kutoweka

    Oct 04, 2018 10:53

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Uturuki imemuita balozi wa Saudi Arabia mjini Ankara ili kumsaili kuhusiana na kutoweka mwandishi wa habari ambaye amekuwa akiukosoa utawala wa Riyadh; huku mgogoro baina ya nchi hizo mbili ukiendelea kutokota.

  • Kaka yake na Fethullah Gülen ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela Uturuki

    Kaka yake na Fethullah Gülen ahukumiwa kifungo cha miaka 10 jela Uturuki

    Oct 02, 2018 11:45

    Mahakama ya Uturuki imemhukumu kifungo cha miaka 10 jela kaka yake Fethullah Gülen, anayetuhumiwa na serikali ya Ankara kuwa alipanga mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli tarehe 15 Julai 2016 nchini humo.

  • Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo

    Uturuki: Tutaendelea kushirikiana na Iran licha ya Marekani kuiwekea vikwazo

    Sep 27, 2018 03:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki amesema kuwa, Ankara haitojali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na itaendeleza ushirikiano wake na Tehran kama kawaida.

  • Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump

    Erdogan: Tutaendelea kununua gesi ya Iran licha ya vitisho vya Trump

    Sep 26, 2018 10:49

    Rais Recep Tayyip Erdoğan amesema Uturuki itaendelea kununua gesi kutoka Jamhuri ya Kiislamu ya Iran licha ya vikwazo na vitisho vya Rais Donald Trump wa Marekani.

  • Uturuki yawatia mbaroni wanajeshi 85 wa 'harakati ya Gulen'

    Uturuki yawatia mbaroni wanajeshi 85 wa 'harakati ya Gulen'

    Sep 21, 2018 23:33

    Vyombo vya usalama nchini Uturuki vimewatia nguvuni wanajeshi 85 waliokuwa kazini kwa tuhuma za kuwa na ushirikiano na harakati ya Fethullah Gülen.

  • Erdoğan: Uturuki itayashinda matatizo ya kiuchumi

    Erdoğan: Uturuki itayashinda matatizo ya kiuchumi

    Sep 20, 2018 10:34

    Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesema kuwa nchi yake inaweza kuyashinda matatizo ya kiuchumi yanayoikabili.

  • Rais Tayyip Erdoğan: Marekani inajaribu kuua kigaidi uchumi wa Uturuki

    Rais Tayyip Erdoğan: Marekani inajaribu kuua kigaidi uchumi wa Uturuki

    Sep 17, 2018 03:02

    Kwa mara nyingine Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki amesisitiza kwamba, Marekani iko nyuma ya vita vya kiuchumi vilivyoanzishwa dhidi ya nchi yake.

  • Sisitizo la Ibrahim Jaafari la kuondoka wanajeshi wa Uturuki huko Iraq

    Sisitizo la Ibrahim Jaafari la kuondoka wanajeshi wa Uturuki huko Iraq

    Sep 12, 2018 03:15

    Ibrahim Jaafari Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesisitiza kuondoka haraka iwezekanavyo wanajeshi wa Uturuki katika ardhi ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS