-
Jeshi la Venezuela lachukua hatua kali za kuzima njama chafu za Marekani
Feb 21, 2019 04:45Jeshi la Venezuela limechukua hatua madhubuti kwa ajili ya kuzima njama chafu za Marekani dhidi ya nchi hiyo.
-
Jeshi la Venezuela latangaza tena utiifu wake kwa Rais Maduro
Feb 21, 2019 02:55Waziri wa Ulinzi wa Venezuela ametangaza tena utiifu wake na vikosi vya majeshi ya nchi hiyo kwa Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo na kusema kuwa, makamanda na wanajeshi wa nchi hiyo wanafuata na kuutii amri ya Rais Maduro na wataendelea kusimama naye bega kwa bega hadi tone la mwisho la damu yao.
-
Vikwazo vipya; kuendelea njama za Marekani za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela
Feb 17, 2019 08:02Mgogoro wa Venezuela bado unaendelea ambapo Marekani na washirika wake wanatumia kila njia kwa ajili ya kuiondoa madarakani serikali halali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolás Maduro na kuiweka pahala pake serikali kibaraka.
-
Maduro: Venezuela haihitaji msaada wa 'makombo' wa Marekani
Feb 17, 2019 04:37Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema ni kinaya kuiona Marekani inajidai kuwa ina hamu ya kuwapa wananchi wa nchi hiyo ya Amerika Latina kile inachodai kuwa ni msaada wa kibinadamu, katika hali ambayo imeiba mabilioni ya dola ya nchi hiyo kupitia vikwazo.
-
Kushadidi makabiliano ya kisiasa nchini Venezuela
Feb 13, 2019 02:29Matukio ya kisiasa nchini Venezuela yamefikia katika hatua nyeti kiasi kwamba, Rais Nicolas Maduro ametoa amri ya kufanyika manuva makubwa ya kijeshi ambayo ni ya kihistoria katika nchi hiyo.
-
Ushirikiano wa Marekani na kiongozi wa upinzani nchini Venezuela dhidi ya Rais Nicolás Maduro
Feb 10, 2019 11:07Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela, wapinzani wa serikali wanaoungwa mkono na Marekani wamezidisha njama zao za kubadilisha hali ya nchi hiyo kwa manufaa yao.
-
White House yaendeleza uchochezi Venezuela, yafanya mawasiliano na askari wa nchi hiyo
Feb 09, 2019 15:50Vyombo vya habari nchini Venezuela vimefichua mawasiliano ya moja kwa moja ya ikulu ya Rais wa Marekani (White House) na askari wa nchi hiyo kwa lengo la kuwatisha na kuwachochea kufanya mapinduzi ya kijeshi dhidi ya serikali halali ya Rais Nicolás Maduro.
-
Russia yaionya Marekani isithubutu kuingia kijeshi Venezuela
Feb 07, 2019 14:51Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imeionya Marekani kuhusu hatari ya chokochoko zake za kutaka kuivamia kijeshi Venezuela.
-
Venezuela yanasa shehena ya silaha za Marekani
Feb 06, 2019 07:26Vyombo vya usalama nchini Venezuela vimetangaza habari ya kunasa shehena kubwa ya silaha zinazoripotiwa kutokea Marekani, katika hali ambayo Rais Donald Trump amesisitiza kuwa serikali ya Washington itawaunga mkono kikamilifu wapinzani wa nchi hiyo ya Amerika ya Latini, katika jitihada zao za kumuondoa madarakani Rais Nicolas Maduro.
-
Mgawanyiko katika Umoja wa Ulaya kuhusu kadhia ya Venezuela
Feb 05, 2019 06:47Kufuatia kushadidi mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela, Umoja wa Ulaya umekuwa ukifuata sera za Marekani za kumpinga Rais Nicholas Maduro wa nchi hiyo na kumuunga mkono kiongozi wa upinzani.