-
Mgawanyiko katika Umoja wa Ulaya kuhusu kadhia ya Venezuela
Feb 05, 2019 03:17Kufuatia kushadidi mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela, Umoja wa Ulaya umekuwa ukifuata sera za Marekani za kumpinga Rais Nicholas Maduro wa nchi hiyo na kumuunga mkono kiongozi wa upinzani.
-
Korea Kaskazini yalaani vikali uingiliaji wa Marekani nchini Venezuela
Feb 04, 2019 10:25Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini imetoa taarifa inayolaani uungaji mkono wa nchi za Magharibi zikiongozwa na Marekani kwa Juan Gerardo Guaidó kiongozi wa upinzani aliyejitangaza kuwa rais wa muda wa Venezuela na uingiliaji wa nchi hizo katika nchi hiyo na kusema kuwa kitendo hicho ni ukiukaji wa kuchupa mipaka wa sheria za kimataifa.
-
Maduro: Venezuela ina Rais mmoja tu
Feb 04, 2019 04:19Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa, nchi hiyo ina Rais mmoja tu na kwamba kitendo cha kiongozi wa kambi ya upinzani cha kujitangazia urais nchini humo, ni kinyume kabisa cha katiba.
-
Pendekezo la Rais Maduro la kufanyika uchaguzi wa kabla ya wakati nchini Venezuela
Feb 04, 2019 04:13Venezuela ambayo ni nchi ya Latin America kwa miaka kadhaa sasa imekuwa ikikabiliwa na machafuko kutokana na kupungua bei ya nishati ya mafuta katika soko la dunia.
-
Kulegeza msimamo Marekani kuhusu vitisho vyake vya kijeshi dhidi ya Venezuela
Feb 02, 2019 21:57Katika hali ambayo Washington na waitifaki wake wangali wanafuatilia mpango wao wa kuipindua serikali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela; kusimama kidete na kuwa macho Rais Nicolaus Madurowa nchi hiyo na kuungwa mkono kwake na wananchi, si tu kuwa kumefelisha njama za pande hizo za kutekeleza njama zao dhidi ya Maduro bali kumeipelekea Washington pia kulegeza msimamo katika baadhi ya siasa zake.
-
Rais Rouhani: Wananchi wa Venezuela watasambaratisha njama mpya za Marekani
Feb 02, 2019 11:13Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, wananchi wa Venezuela watasambaratisha njama mpya za Marekani kwa kudumisha umoja na kusimama kidete pamoja na serikali.
-
Kushadidishwa mashinikizo dhidi ya Venezuela
Feb 01, 2019 23:14Kufuatia kudhihiri mgogoro wa kisiasa wa Venezuela, nchi za Magharibi zimekuwa zikifanya juhudi kubwa za kufikia malengo yao katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini iliyo na utajiri mkubwa wa mafuta.
-
Umoja wa Afrika watangaza kumuunga mkono Rais Nicolás Maduro wa Venezuela
Jan 31, 2019 01:13Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imetangaza kwamba Umoja wa Afrika umesisitiza kumuunga mkono Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo.
-
Onyo la Russia kuhusu kuingilia kijeshi Marekani mgogoro wa Venezuela
Jan 30, 2019 09:24Matukio ya kisiasa yaliyojiri karibuni katika nchi yenye utajiri mkubwa wa mafuta ya Venezuela na makabiliano yanayozidi kupamba moto baina ya wapinzani na serikali ya mrengo wa kushoto ya nchi hiyo yameingia kwenye awamu nyeti na hasasi.
-
Russia: Nchi za Magharibi zisifikirie kuingilia kijeshi Venezuela
Jan 30, 2019 03:01Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia jana usiku alizitaka nchi za Magharibi kuachana na mpango, fikra au dhana yoyote kwamba ipo haja ya kuingilia kijeshi huko Venezuela.