-
Papa Francis awaunga mkono raia wa Venezuela
Jan 25, 2019 04:41Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amewataka walimwengu kuwaepushia matatizo zaidi raia wa Venezuela.
-
Waziri wa Ulinzi Venezuela: Marekani ndio inapanga mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Maduro
Jan 25, 2019 01:06Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amesema kuwa, Marekani na washirika wa White House ndio wanatekeleza mapinduzi ya kijeshi na vita vya kiuchumi dhidi ya nchi hiyo.
-
Venezuela yaikosoa Ufaransa kwa kupanga njama za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali
Oct 01, 2018 04:35Serikali ya Venezuela imekosoa njama za Ufaransa za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali ya Caracas na kadhalika uingiliaji wa Paris katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Uturuki yaitaka Venezuela kufanya biashara kwa kutumia sarafu za ndani
Sep 23, 2018 23:27Uturuki imeialika Venezuela kutumia sarafu za nchi zao badala ya dola katika miamala ya kibiashara ya pande mbili; ikiwa ni katika kampeni ya kuimarisha uchumi wa nchi hizo kukabiliana na mashinikizo ya serikali ya rais wa Marekani, Donald Trump.
-
Njama za kuingilia kijeshi masuala ya ndani ya Venezuela
Sep 16, 2018 06:34Luis Almagro, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Amerika ametoa matamshi ya vitisho dhidi ya Venezuela na kusema kuwa, chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuiondoa madarakani serikali ya Rais Nicolás Maduro wa Venezuela halipasi kupuuzwa.
-
New York Times: Trump alipanga njama ya mapinduzi dhidi ya Rais wa Venezuela
Sep 09, 2018 11:42Gazeti la New York Times la Marekani imefichua kwamba, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo mwaka jana ilifanya kikao cha siri na majenerali walioasi jeshi la Venezuela kujadili mipango ya kufanya mapinduzi na kumuondoa madarakani Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo.
-
Venezuela: Faili la kutaka kumuu Rais Maduro litashughulikiwa kimataifa
Aug 10, 2018 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo inakusudia kuliwasilisha faili la jaribio la kutaka kumuu Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo katika ngazi ya kimataifa.
-
Magaidi 6 watiwa mbaroni kwa kujaribu kumuua rais wa Venezuela
Aug 06, 2018 03:34Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela jana usiku alitoa tamko na kutangaza habari ya kutiwa mbaroni magaidi 6 waliohusika na jaribio lililoshindwa la kutaka kumuu Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.
-
Iran yalaani jaribio la kutaka kumuua Rais wa Venezuela + Video
Aug 05, 2018 11:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali jaribio la kutaka kumuua rais wa Venezeula Nicolas Maduro.
-
Russia: Kuna uwekezano Marekani ikaishambulia kijeshi Venezuela
Jul 19, 2018 03:22Balozi wa Russia nchini Venezuela ameonyesha masikitiko yake kutokana na uwezekano wa Marekani kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.