• Video: George Bush na Tony Blair wapatikana na hatia ya kutenda jinai Iraq

    Video: George Bush na Tony Blair wapatikana na hatia ya kutenda jinai Iraq

    Aug 03, 2016 07:05

    Mahakama moja nchini Malaysia imewapata na hatia Rais wa zamani wa Marekani George W. Bush na Waziri Mkuu wa zamani wa Uingereza, Tony Blair ya kutenda jinai za kivitia katika uvamizi wao wa nchini Iraq mwaka 2003. Maelezo zaidi yamo kwenye video hii hapa...

  • Video: Mtangazaji wa IRIB alipoanguka ghalfa na kuzimia akiwa LIVE hewani

    Video: Mtangazaji wa IRIB alipoanguka ghalfa na kuzimia akiwa LIVE hewani

    Aug 03, 2016 06:54

    Mtaalamu wa hali ya hewa wa Shirika la Sauti na Televisheni la Iran IRIB aliangua ghafla na kuzimia akiwa katika matangazo ya moja kwa moja hewani, kwenye taarifa ya habari ya matangazo ya asubuhi. Alhadulillah, hali yake ni nzuri na alirejea hewani kwenye matangazo ya mchana. Sababu ya kuanguka kwake ghafla ni kushuka "presha"

  • Video: Ansarullah wa Yemen wakishambulia kwa makombora eneo la Jizan la Saudia

    Video: Ansarullah wa Yemen wakishambulia kwa makombora eneo la Jizan la Saudia

    Jul 24, 2016 09:11

    Mapigano yanaendelea nchini Yemen, na licha ya harakati ya wananchi ya Answarullah na jeshi Yemen kufungiwa njia zote, lakini wanaendelea kupambana kiume kukabiliana na wavamizi wa nchi yao...

  • Video: Ndege ya Russia ikishambulia ngome za ISIS nchini Syria

    Video: Ndege ya Russia ikishambulia ngome za ISIS nchini Syria

    Jul 24, 2016 09:06

    Kipande hiki kifupi cha video kinaonesha namna ndege ya Russia ilipokuwa inashambulia ngome za magaidi wa Daesh (ISIS) nchini Syria na kurudi kambini salama.

  • Mateso ya Waislamu wa Kashmiri ya upande wa India

    Mateso ya Waislamu wa Kashmiri ya upande wa India

    Jul 22, 2016 10:27

    Waislamu wa eneo la Kashmiri lililoko chini ya India wamefanya maandamano makubwa ya kulaani serikali ya India baada ya jeshi la nchi hiyo kuwaua baadhi ya wanaharakati wanaopigania uhuru wa eneo hilo.

  • Goli la mapema zaidi kuwahi kufungwa katika historia ya kandanda

    Goli la mapema zaidi kuwahi kufungwa katika historia ya kandanda

    Jul 22, 2016 10:22

    Mchezo wa mpira wa miguu siku zote huwa na maanajabu. Hili hapa goli la haraka zaidi kuwahi kufungwa katika hitoria ya soka. Hilo limetokea nchini Mexico.

  • Video: Ukatili wa magaidi wa Syria hata kwa watoto wa Kipalestina

    Video: Ukatili wa magaidi wa Syria hata kwa watoto wa Kipalestina

    Jul 21, 2016 08:05

    Magaidi wa Syria wa kundi la Nuruddin al Zanki wanaoungwa mkono na madola ya kieneo na ya Magharibi hasa Marekani, yamezidi kudhihirisha ukatili wao kwa kumchinja kama kuku mtoto mdogo wa Kipalestina mwenye umri wa miaka 12.

  • Askari mwerevu wa barabarani

    Askari mwerevu wa barabarani

    Jul 21, 2016 06:40

    Asakari mwerevu wa barabarani nchini China, alichukua hatua ya haraka na inayofaa na kufanikiwa kuokoa roho na makumi ya magari kama inavyoonesha video hii...

  • Ajali haina kinga

    Ajali haina kinga

    Jul 19, 2016 08:29

    Hawakukosea waliosema, ajali haina kinga. Kipande hiki kifupi cha video kinathibitisha hilo

  • Uvurundo wa karne katika soka

    Uvurundo wa karne katika soka

    Jul 12, 2016 08:08

    Hata makosa nayo yanazidiana. Kuna baadhi ya makosa ni "blanda" na uvurundo ambao hufanyika kiutaalamu kiasi kwamba hata aliyefanya uvurundo huo akiambiwa aurudie hawezi kama vinavyoonesha baadhi ya vipande hivi vya sekundi za hatari katika soka...