Video: Mtangazaji wa IRIB alipoanguka ghalfa na kuzimia akiwa LIVE hewani
https://parstoday.ir/sw/news/iran-i12505-video_mtangazaji_wa_irib_alipoanguka_ghalfa_na_kuzimia_akiwa_live_hewani
Mtaalamu wa hali ya hewa wa Shirika la Sauti na Televisheni la Iran IRIB aliangua ghafla na kuzimia akiwa katika matangazo ya moja kwa moja hewani, kwenye taarifa ya habari ya matangazo ya asubuhi. Alhadulillah, hali yake ni nzuri na alirejea hewani kwenye matangazo ya mchana. Sababu ya kuanguka kwake ghafla ni kushuka "presha"
(last modified 2026-01-14T08:12:18+00:00 )
Aug 03, 2016 02:24 UTC