Video: Mapigano makali mjini Halab Syria
https://parstoday.ir/sw/news/west_asia-i12769-video_mapigano_makali_mjini_halab_syria
Jana Jumamosi, makundi ya kigaidi yaliyounganisha nguvu zao zote kujaribu kujitoa katika mzingiro huko Halab, Syria yalieneza propaganda kubwa kudai kuwa yamefanikiwa kujitoa kwenye mzingiro huo. Kipande hiki cha video sambamba na kukanusha madai hayo, kinaonesha sehemu ndogo ya mapigano makali yaliyotokea jana katika pembe zote za kusini magharibi mwa mji wa Halab.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Aug 06, 2016 23:35 UTC