-
Zarif: Kikao cha Vienna kimesisitiza kuhusu kudhaminiwa maslahi ya taifa la Iran
Jul 06, 2018 14:22Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema maslahi ya taifa la Iran lazima yadhaminiwe kwa mujibu wa mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA, na hilo ni jambo ambalo pia madola matano yaliyosalia katika JCPOA yanasisitiza.
-
Russia: Baada ya kujiondoa JCPOA, Marekani haina haki yoyote kuhusiana na makubaliano hayo
May 26, 2018 07:17Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imesisitiza kwamba kitendo cha Marekani kujiondoa katika makubaliano ya nyuklia ya Iran maarufu kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA), kimeiondolea nchi hiyo haki yoyote kuhusiana na makubaliano hayo.
-
Iran haifanyi mazungumzo tena kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 16, 2018 06:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesisitiza kuwa katu haitakubali kufanyika mazungumzo mapya kuhusu mapatano ya nyuklia baina yake na mdola sita makubwa duniani.
-
Waziri wa Mambo ya Ndani wa Iran: Ushirikiano wa kimataifa; njia ya ufumbuzi wa tatizo la mihadarati
Mar 13, 2018 02:43Waziri wa Mambo ya Ndani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa utatuzi wa tatizo la madawa ya kulevya unahitajia azma, irada ya kimataifa na kuimarishwa ushirikiano sambamba na kujiepusha na mijadala isiyo na maana, ya upande mmoja na ya kisiasa.
-
Russia: Makubaliano ya JCPOA yamefichua jinsi Marekani inavyokiuka sheria za kimataifa
Jul 22, 2017 16:50Mkuu wa Kituo cha Stratijia za Kisiasa nchini Russia, Sergei Mikheev amesema kuwa, kitendo cha Marekani kukiuka makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kwa kifupi kama JCPOA, kimeidhihirisha nchini hiyo kwamba ni mkiukaji mkubwa wa sheria na mikataba ya kimataifa duniani.
-
Kamisheni ya pamoja ya JCPOA yachunguza ukiukaji ahadi wa Marekani
Jan 11, 2017 07:09Kikao cha kamisheni ya pamoja ya Iran na kundi la 5+1 katika kiwango cha Manaibu Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni kilichoitishwa kwa takwa la Dakta Muhammad Javad Zarif Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kujadili ukiukaji wa makubaliano hayo uliofanywa na Marekani kimemalizika huko Vienna Austria kwa kutolewa taarifa.