-
Rouhani: Taifa la Iran litamshinda adui yeyote yule
May 04, 2019 03:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia njama za maadui dhidi ya Tehran na kusisitiza kuwa, taifa hili la Kiislamu litamshinda adui yeyote yule kwa mshikamano wake, kusimama kidete na kuwa na matumaini na mustakbali mwema.
-
IMF: Licha ya vikwazo, Iran itakuwa na akiba ya zaidi ya dola bilioni 100 mwaka huu
May 03, 2019 22:22Mfuko wa Fedha wa Kimataifa (IMF) umetabiri kuwa, akiba ya fedha za kigeni ya Iran mwaka 2019 itapindukia dola bilioni 100 licha ya kuweko vikwazo vya pande zote vya Marekani dhidi ya taifa hilo.
-
Kamati ya Nyuklia ya Iran: Tutajiondoa NPT, JCPOA iwapo tutaendelea kuwekewa vikwazo
May 01, 2019 03:07Mwenyekiti wa Kamati ya Nyuklia ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema iwapo taifa hili litaendelea kukabiliwa na vikwazo, basi Tehran itajitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Atomiki (NPT) sambamba na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
IMF: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran vinavuruga ukuaji wa uchumi katika eneo
Apr 29, 2019 02:24Mfuko wa Fedha Duniani (IMF) umesema vikwazo vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vimedumaza ukuaji wa uchumi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Mwendelezo wa Marekani wa kutaka kupora vyanzo vya utajiri wa Venezuela
Apr 28, 2019 23:38Marekani bado inaendelea kufanya njama za kupanua wigo wa vikwazo na mashinikizo yake dhidi ya Venezuela kwa lengo la kumshinikiza Rais Nicolás Maduro aondoke madarakani nchini humo ili iweze kupenya na kupora utajiri wa taifa hilo la Amerika ya Latini.
-
Zarif: Iran ina Shahada ya Uzamivu (PhD) ya kukabiliana na vikwazo
Apr 25, 2019 03:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Mohammad Javad Zarif amesema Jamhuri ya Kiislamu haitasimamisha uuzaji wa mafuta yake nje ya nchi licha ya vikwazo vipya vya Marekani, na kusisitiza kuwa taifa hili lina Shahada ya Uzamivu (PhD) katika kupambana na vikwazo.
-
Marekani yatishia kuiwekea Uturuki vikwazo vipya ikinunua mfumo wa makombora wa S-400 kutoka Russia
Apr 23, 2019 02:32Uhusiano wa Marekani na Uturuki umekumbwa na msuguano mkubwa hasa baada ya mapinduzi ya kijeshi yaliyofeli ya Julai 2016. Baada ya Uturuki kusambaratisha mapinduzi hayo, ilisema kuwa Marekani ilihusika katika njama hiyo na kwa msingi huo uhusiano wa nchi hizo mbili uliingia baridi.
-
Marekani yazidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela kwa kuiwekea vikwazo Benki Kuu ya nchi hiyo
Apr 19, 2019 03:18Ikiwa ni katika kuzidisha mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela, John Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo imeiweka Benki Kuu ya Venezuela katika orodha ya vikwazo ya Washington.
-
Vikwazo vya dawa dhidi ya Iran; Mahakama ya ICJ yaitaka Marekani ijieleze
Mar 31, 2019 03:09Mahakama ya Kimataifa ya Uadilifu (ICJ) imesema, imeipeleka barua serikali ya Marekani kuitaka iondoe vikwazo ilivyoiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Sisitizo la Russia la wajibu wa kukabiliana vilivyo na vikwazo vya Marekani
Mar 30, 2019 02:56Marekani ina historia ndefu na mbaya zaidi ya kutumia vikwazo dhidi ya nchi nyingine kwa ajili ya kuendeleza malengo yake ya kibeberu. Kwa kweli viongozi wa ngazi za juu wa Marekani wanaamini kuwa, vikwazo dhidi ya nchi nyingine ndio wenzo bora kwao wa kuweza kufanikishia malengo yao.