Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

waasi

  • Askari usalama Nigeria wawakamata wanachama 40 wa genge lenye silaha

    Askari usalama Nigeria wawakamata wanachama 40 wa genge lenye silaha

    Apr 27, 2021 07:16

    Kikosi cha usalama nchini Nigeria ckimewatia nguvuni wanachama 40 wa genge la watu waliokuwa na silaha wakati wa operesheni iliyofanyika katika jimbo la kusini la Edo.

  • Waasi 21 wa kundi la CODECO wauawa DRC

    Waasi 21 wa kundi la CODECO wauawa DRC

    Oct 27, 2020 11:17

    Waasi 21 wameuawa katika kipindi cha siku tatu za mapigano baina yao na jeshi la serikali katika mkoa wa Ituri, kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

  • Watoto wasiopungua 6 wauawa katika shambulio la  waasi nchini Cameroon

    Watoto wasiopungua 6 wauawa katika shambulio la waasi nchini Cameroon

    Oct 25, 2020 08:20

    Watoto wasiopungua 6 wameuawa katika shambulio la watu wenye silaha lililolenga shule ya Fransisca International Bi-lingual Academy. Shambulio hilo lilifanyika jana katika eneo la Koumba kusini magharibi mwa Cameroon.

  • Sudan na kundi kuu la waasi zakubaliana kuanzisha tena mazungumzo ya amani

    Sudan na kundi kuu la waasi zakubaliana kuanzisha tena mazungumzo ya amani

    Sep 05, 2020 02:33

    Serikali ya Sudan na kundi kuu la waasi linaloendesha harakati zake katika maeneo ya mpakani ya kusini mwa nchi hiyo zimeafikiana kuanzisha tena mazungumzo amani chini ya uwenyeji wa Sudan Kusini.

  • Watu 13 wauawa katika shambulio la genge la waasi wa ADF mashariki mwa Congo

    Watu 13 wauawa katika shambulio la genge la waasi wa ADF mashariki mwa Congo

    Aug 22, 2020 12:19

    Watu wasiopungua 13 wameuawa katika shambulio lililofanywa na waasi wa kundi la The Allied Democratic Forces (ADF) kutoka Uganda huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.

  • Waasi waua wanajeshi watano na raia wanne nchini Cameroon

    Waasi waua wanajeshi watano na raia wanne nchini Cameroon

    Mar 09, 2020 04:34

    Waasi wamemeshambulia kituo cha polisi kilichoko wilayani Galim magharibi mwa Cameroon na kuua wanajeshi watano na raia wanne.

  • Jeshi la Somalia lapambana na wanamgambo wa Ahlu Sunnah Wal Jama’a (ASWJ)

    Jeshi la Somalia lapambana na wanamgambo wa Ahlu Sunnah Wal Jama’a (ASWJ)

    Feb 28, 2020 13:09

    Jeshi la Somalia mapema leo Ijumaa limepambana na wanamgambo wa kundi moja la kikanda katika kile kinachotajwa na Wasomali kuwa ni mapigano makali zaidi baada ya misuguano ya kisiasa inayoendelea kuikwamisha nchi hiyo katika dimbwi la ghasia na machafuko.

  • Jeshi la Sudan lazima uasi wa maafisa wa zamani wa utawala wa Al-Bashir

    Jeshi la Sudan lazima uasi wa maafisa wa zamani wa utawala wa Al-Bashir

    Jan 15, 2020 08:04

    Mkuu wa Baraza la Utawala la Sudan Luteni Jenerali Abdel Fattah al-Burhan amesema, anga ya nchi hiyo imefunguliwa tena na majengo yote ya Shirika la Intelijensia hivi sasa yanadhibitiwa na jeshi, kufuatia uasi uliofanywa na maafisa wa zamani wa usalama wa utawala wa aliyekuwa rais wa nchi hiyo Omar al-Bashir.

  • Jeshi la Congo lamuua kiongozi wa tawi la waasi wa FDLR kutoka Rwanda

    Jeshi la Congo lamuua kiongozi wa tawi la waasi wa FDLR kutoka Rwanda

    Nov 11, 2019 03:40

    Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo limetangaza kuwa limemuua kiongozi wa tawi lililojitenga la kundi la waasi wa Kihutu la Democratic Forces for the Liberation of Rwanda (FDLR) mashariki mwa nchi hiyo.

  • Kiongozi wa wasi wa FDLR kutoka Rwanda auawa huko Congo DR

    Kiongozi wa wasi wa FDLR kutoka Rwanda auawa huko Congo DR

    Sep 19, 2019 07:40

    Kiongozi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda aliyekuwa akisakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwa tuhuma za kufanya jinai za kivita ameuawa kwa kipigwa risasi na askari wa jeshi la Congo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS