-
Kiongozi wa wasi wa FDLR kutoka Rwanda auawa huko Congo DR
Sep 19, 2019 07:40Kiongozi wa waasi wa Kihutu kutoka Rwanda aliyekuwa akisakwa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kwa tuhuma za kufanya jinai za kivita ameuawa kwa kipigwa risasi na askari wa jeshi la Congo.
-
Umoja wa Mataifa waliunga mkono jeshi la Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda
Sep 08, 2019 02:56Umoja wa Mataifa umesisitiza kuwa unaliunga mkono jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika mapambano dhidi ya waasi wa Uganda wa ADF.
-
Mkutano wa Baraza la Kijeshi la Sudan na kambi ya upinzani waakhirishwa
Jul 15, 2019 10:24Muungano wa Uhuru na Mabadiliko nchini Sudan umetangaza kuwa, mkutano uliokuwa umepangwa kufanyika leo na wawakilishi wa Baraza la Kijeshi linalotawala nchi hiyo chini ya upatanishi wa Ethiopia na Umoja wa Afrika umeakhirishwa hadi Jumanne ya kesho.
-
Baraza la Dini Ethiopia lakutana na viongozi wa OLF
Dec 28, 2018 03:02Baraza la Dini la Ethiopia pamoja na makundi ya wazee jana Alkhamisi yalikutana na kufanya mazungumzo na viongozi wa ngazi za juu wa kundi la wabeba silaha la Harakati ya Ukombozi ya Oromo (OLF).
-
Jeshi la Cameroon laua wanachama 7 wa kundi linalotaka kujitenga
Dec 19, 2018 02:50Jeshi la Cameroon limetangaza habari ya kuua wanachama saba wa waasi wa Ambazonia katika mji wa Bamenda, katika eneo lenye wazungumzaji wengi wa Kiingereza la kusini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Raia 17 wauawa katika mashambulizi ya ADF Kongo DR
Dec 07, 2018 14:39Raia wasiopungua 17 wameripotiwa kuuawa katika mashambulizi yaliyofanywa na kundi la wanamgambo wa ADF mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Kiongozi wa waasi Sudan Kusini arejea nchini baada ya kufikiwa makubaliano ya amani
Oct 31, 2018 15:43Riek Machar kiongozi wa waasi Sudan Kusini leo Jumatano amewasili Juba mji mkuu wa nchi hiyo kuadhimisha makubaliano ya amani; ikiwa imepita zaidi ya miaka miwili baada ya kuibuka mapigano makali huko Juba na kumlazimisha kukimbia nchi.
-
ICC yasikiliza kesi ya kamanda wa waasi wa Uganda wa LRA
Oct 22, 2018 15:50Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imeanza kusikiliza kesi ya kamanda wa genge la kigaidi la Kikristo la LRA lililokuwa linapigania kusimamisha serikali itakayoongozwa kwa amri kumi za Biblia nchini Uganda.
-
Waasi wa ADF waua 13 na kuteka watoto 12 Beni, Kongo DR
Oct 21, 2018 14:43Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wamefanya tena mashambulio dhidi ya ngome za jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuua watu 13 mbali na kuwateka nyara watoto wasiopungua 12.
-
Waasi wa Ethiopia watangaza kusimamisha mapigano kufuatia mageuzi ya serikali
Aug 12, 2018 14:54Kundi moja la waasi nchini Ethiopia leo Jumapili limetangaza usitishaji mapigano wa upande mmoja, hatua iliyotajwa na weledi wa mambo kuwa ina lengo la kuhitimisha uhasama kufuatia mageuzi yanayofanywa na serikali ya Addis Ababa.