-
Waasi wa ADF-NALU wa Uganda wafanya mashambulio DRC na kuua watu 6
Aug 12, 2018 12:59Waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wamefanya mashambulio katika jimbo la Kivu Kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua watu sita.
-
Raia 232 wameuawa Sudan Kusini miezi miwili iliyopita
Jul 11, 2018 13:27Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa limesema raia 232 wameuawa katika mashambulizi yaliyofanywa katika maeneo ya Mayendit na Leer nchini Sudan Kusini.
-
Riek Machar kurejeshwa katika nafasi ya Makamu wa Rais wa Sudan Kusini
Jul 08, 2018 07:45Pande hasimu Sudan Kusini zimeafiki kugawana madaraka kwa mujibu wa makubaliano yaliyofikiwa na pande hizo ambapo kwa mujibu wake kiongozi wa waasi nchini humo, Riek Machar atarejeshwa katika wadhifa wa Makamu wa Rais.
-
Genge la waasi nchini Ethiopia lasimamisha operesheni zake
Jun 23, 2018 04:09Kundi la waasi la Patriotic Ginbot7 (PG7) la Ethiopia limetangaza uamuzi wa upande mmoja wa kusimamisha kwa muda usiojulikana operesheni zake zote za utumiaji silaha katika maeneo yote ya nchi.
-
Waasi Sudan Kusini: Muda zaidi unahitajika kufikia amani
Jun 22, 2018 07:50Waasi wa Sudan Kusini wametangaza kuwa muda zaidi unahitajika ili kufanikisha mchakato wa amani ya kudumu nchini humo na kwamba itakuwa jambo la muhimu kuvipatia ufumbuzi vyanzo vikuu vya vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan Kusini.
-
Vinara wawili wa waasi Ethiopia warudi nyumbani baada ya mazungumzo na serikali
Jun 13, 2018 02:41Viongozi wawili wa kundi la waasi wa Ethiopia wamerudi nyumbani baada ya kufanya mazungumzo na waziri mkuu wa nchi hiyo Abiy Ahmed Ali..
-
War Child: Watoto wanajiunga na makundi ya waasi 'kwa khiari' DRC
May 23, 2018 07:37Shirika la kimataifa la kutetea haki za watoto walioathiriwa na migogoro duniani la War Child limesema aghalabu ya watoto wadogo wanaoujiunga na makundi ya waasi wanaobeba silaha katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanafanya hivyo kwa khiari kwa sababu hawana chaguo mbadala.
-
Wakazi wa mashariki mwa Kongo waandamana kulaani udhaifu wa jeshi katika kukabiliana na waasi
May 23, 2018 03:37Utendaji dhaifu wa jeshi la serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo katika kukabiliana na waasi wa maeneo ya mashariki mwa nchi hiyo, umewakasirisha wakazi wa maeneo hayo na kuamua kufanya maandamano.
-
Watu 6 wauawa mbugani Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Apr 10, 2018 07:34Askari watano na dereva mmoja wameuawa katika Mbuga ya Wanyamapori ya Virunga huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Waasi wauwa watu 11 kaskazini mashariki mwa Kongo
Mar 29, 2018 04:34Waasi wenye silaha wamewauwa raia wasiopungua 11 katika shambulio moja kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Raia wengine wasiopungua elfu moja wameshauliwa na waasi hao hadi hivi sasa tangu mwaka 2014 katika mashambulizi kama hayo.