-
Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wafanya mashambulio mashariki mwa DRC na kuua watu 7
Mar 05, 2018 04:02Waasi wa Uganda wa ADF-Nalu wamefanya tena mashambulio katika eneo moja mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na kuua watu saba.
-
Msemaji wa waasi wa Sudan Kusini ahukumiwa kifo
Feb 13, 2018 08:10Msemaji wa waasi nchini Sudan Kusini, James Gatdet Dak amehukumiwa kifo baada ya kupatikana na hatia ya uhaini.
-
Waasi 148 wajisalimisha kwa serikali nchini Ethiopia
Jan 22, 2018 04:38Serikali ya Ethiopia imetangaza habari ya kujisalimisha waasi 148 kwa vikosi vya usalama vya nchi hiyo.
-
Congo Brazaville yasaini muafaka wa amani na kundi la waasi la 'Ninja'
Dec 24, 2017 07:58Serikali ya Jamhuri ya Congo imesaini makubaliano ya amani na kundi la waasi la 'Ninja' na hivyo kutamatisha mgogoro wa karibu miaka 15 ambao umesababisha makumi ya watu kuuawa na makumi ya maelfu ya wengine kuwa wakimbizi.
-
Mbunge wa Kivu Kaskazini atahadharisha kuhusu vitisho vya waasi wa ADF-Nalu wa Uganda
Dec 11, 2017 08:08Juvenal Munubo, mwakilishi wa Kivu Kaskazini katika Bunge la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo ametahadharisha kuhusiana na vitisho vya waasi wa ADF-Nalu wa Uganda wanaoendesha harakati zao mashariki mwa DRC.
-
Waasi wateka nyara na kuua makumi ya wasafiri Kongo DR
Oct 08, 2017 14:25Makumi ya wasafiri wanahofiwa kuuawa baada ya kutekwa nyara na kundi moja la waasi kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Jeshi la Sudan Kusini lateka ngome kuu ya waasi ya Pagak
Aug 07, 2017 16:33Jeshi la serikali ya Sudan Kusini limefanikiwa kutwaa ngome kikuu ya waasi katika eneo la Pagak lililoko karibu na mpaka wa nchi hiyo na Ethiopia.
-
Serikali ya Mali yaanza mazungumzo na waasi
Jun 25, 2017 03:44Serikali ya Mali imetangaza kuwa, mazungumzo ya amani kati yake na makundi ya waasi yaliyokwama mwaka 2015 yameanza tena .
-
Mahakama ya Kongo DR yaanza kuchunguza faili la mauaji ya wataalamu wa UN
Jun 06, 2017 08:08Mahakama moja katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imeanza kuchunguza faili la mauaji ya wataalamu wa Umoja wa Mataifa yaliyojiri katika mkoa wa Kasai nchini humo.
-
Sudan yaituhumu Misri kuwa inaunga mkono magenge ya waasi
May 24, 2017 07:51Rais wa Sudan, Omar Hassan al-Bashir ameituhumu serikali ya Misri kuwa inaunga mkono magenge ya waasi yanayoipiga vita serikali ya Khartoum.