-
AU yataka msaada wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikristo wa LRA
May 21, 2017 03:33Umoja wa Afrika umetoa wito wa msaada wa kijeshi wa kimataifa kukabiliana na waasi wa Kikrsito wa LRA kutoka Uganda walio katika misitu ya Jamhuri ya Afrika ya Kati wakiongozwa na Joseph Kony.
-
Kuendelea vurugu na mivutano nchini Ivory Coast
May 16, 2017 12:51Sambamba na kuendelea mapigano na vitisho vya wanajeshi waasi katika miji kadhaa nchini Ivory Coast, shughuli za benki, shule na vituo vya biashara zimesitishwa katika miji kadhaa ya nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Wimbi la mauaji laendelea Sudan Kusini, 14 wauawa
Apr 16, 2017 07:14Kwa akali watu 14 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano mapya baina ya wanajeshi wa serikali na waasi katika mji wa Raga nchini Sudan Kusini.
-
Watu 16 wauwa katika mapigano nchini Sudan Kusini
Apr 11, 2017 16:35Kwa akali watu 16 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano baina ya wanajeshi wa serikali na waasi nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini: Marekani inachochea machafuko kwa kuwafadhili waasi nchini mwetu
Mar 16, 2017 14:34Serikali ya Juba imeituhumu Marekani kuwa inachochea machafuko na mapigano nchini humo, kwa kuyaunga mkono na kuyafadhili magenge ya waasi.
-
Serikali ya Sudan Kusini yataka Machar atambuliwe kama gaidi
Mar 14, 2017 14:57Serikali ya Sudan Kusini imezitaka nchi za eneo kumtambua Riek Machar, aliyekuwa makamu wa rais wa nchi hiyo kama gaidi, baada ya askari watiifu kwa kiongozi huyo kuwateka nyara wafanyakazi wawili wa kigeni, na kuitisha kikomboleo ili wawaachie huru.
-
Waasi Sudan wawaachia huru wafungwa 127
Mar 06, 2017 04:00Waasi wanaopigana dhidi ya serikali katika maeneo ya kusini mwa Sudan wamewaachia huru mateka 127 huku jeshi la nchi hiyo likikaribisha hatua hiyo.
-
Waziri ajiuzulu Sudan Kusini, ajiunga na kundi la waasi
Feb 17, 2017 14:35Waziri wa Leba wa Sudan Kusini ametangaza kujiuzulu na kusema kuwa sasa ataunga mkono harakati zinazofanywa na waasi wanaomuunga mkono Riek Machar, Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
-
UN: 100 wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi DRC
Feb 14, 2017 14:39Umoja wa Mataifa umesema jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeua makumi ya watu katika makabiliano na kundi la waasi kati ya Februari 9 na 13.
-
Wasiwasi watanda mji mkuu wa Côte d’Ivoire kutokana na tishio la askari waasi
Jan 28, 2017 13:57Uasi wa askari katika mji mkuu wa Côte d’Ivoire, Yamoussoukro umewafanya wakazi wa mji huo kupatwa na wasi wasi mkubwa.