-
Waasi wa Uganda washambulia kijiji kaskazini mwa Kongo DR, wateka nyara raia
Jan 21, 2017 04:37Waasi wa Uganda wameshambulia wakazi wa kijiji kimoja kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuteka nyara wakazi kadhaa wa kijiji hicho.
-
Waasi wa zamani wa Machi 23 waingia mashariki mwa Congo
Jan 16, 2017 06:11Maafisa wa serikali ya Jamhuri ya Kidemkorasia ya Congo wamesema kuwa waasi wa zamani wa kundi la Machi 23 wameingia mashariki mwa nchi hiyo.
-
Congo DR yataka kufukuzwa waasi wa Rwanda, Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo
Jan 13, 2017 02:58Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imeutaka Umoja wa Mataifa kutayarisha mazingira ya kuwaondoa waasi wa Rwanda na Sudan Kusini katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Askari waasi wa Côte d’Ivoire wamuachilia huru Waziri wa Ulinzi
Jan 08, 2017 08:06Askari waasi wa Côte d’Ivoire wamemuachilia huru Waziri wa Ulinzi wa nchi hiyo leo asubuhi, baada ya kumshikilia kwa masaa machache katika makazi yake.
-
Kundi la Niger Delta latangaza rasmi vita na serikali ya Nigeria
Jan 07, 2017 15:56Kundi la waasi wa Niger Delta kusini mwa Nigeria limetangaza vita na serikali ya nchi hiyo kufuatia kushindwa mazungumzo ya pande mbili.
-
Ahadi ya Rais wa Nigeria ya kurejesha amani na usalama wa nchi
Jan 02, 2017 07:06Katika hali ambayo, Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema katika ujumbe wake kwa mnasaba wa mwaka mpya wa 2017 kwamba, ameazimia kuchukua hatua za kurejesha usalama na uthabiti wa nchi hiyo na wa kieneo, kwa mara nyingine tena kundi la kigaidi la Boko Haram limetishia kutekeleza operesheni za kigaidi katika nchi hiyo ya magharibi mwa Afrika.
-
Upinzani Gambia: Jammeh atageuka na kuwa kiongozi wa waasi nchini
Dec 19, 2016 07:38Upinzani nchini Gambia umemtahadharisha Yahya Jammeh, rais wa nchi hiyo aliyekataa matokeo ya uchaguzi mkuu wa hivi karibuni kuwa yumkini akageuka na kuwa kiongozi wa waasi akiendelea kung'ang'ania madaraka.
-
Kamanda wa LRA ya Uganda kizimbani ICC; akanusha mashitaka
Dec 06, 2016 15:46Kamanda wa zamani wa kundi la waasi wa kaskazini mwa Uganda wa Lord's Resistance Army (LRA) amekanusha mashtaka dhidi yake mbele ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC.
-
Wanamgambo Somalia wawachinja wazee wa vijiji wa Kisuni
Nov 30, 2016 16:26Wazee wanane wa vijiji vya eneo la Galmudug nchini Somalia wameuawa kwa kukatwa vichwa na kundi moja la wanamgambo eti kwa kukataa kulipa kodi.
-
Watu 30 wauawa na waasi mashariki mwa Kongo DR
Nov 27, 2016 15:46Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mapigano kati ya makundi mawili ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.