-
Watu 30 wauawa na waasi mashariki mwa Kongo DR
Nov 27, 2016 12:16Watu wasiopungua 30 wameuawa katika mapigano kati ya makundi mawili ya waasi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Nchi jirani na Kongo DR zatuhumiwa kukiuka makubaliano ya Addis Ababa
Nov 11, 2016 12:20Kamati ya Utekelezaji Makubaliano ya Addis Ababa imezituhumu nchi jirani na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kuwa zimekiuka makubaliano hayo kwa kuwapa hifadhi waasi wa zamani wa nchini humo.
-
Waasi wa FLEC wadai kuua askari 18 wa jeshi la Angola
Oct 01, 2016 04:28Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola (FLEC) wamedai kwamba wameua askari 18 wa nchi hiyo.
-
Vijiji vinne vyakombolewa kaskazini mashariki mwa Kongo DR
Sep 18, 2016 02:46Duru za kijeshi za Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo zimearifu kukombolewa vijiji vinne kaskazini mashariki mwa nchi hiyo vilivyokuwa vimetekwa na waasi.
-
Waasi wa Mai Mai waafiki kusitisha mashambulizi Kongo
Sep 11, 2016 00:03Duru za kuaminika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia Kongo zimearifu kuwa baadhi ya waasi wa kundi la Mai-Mai wamekubali kusitisha mashambulizi ikatika eneo la Masisi mkoani Kivu ya Kaskazini.
-
Wanajeshi 12 wa Angola wauawa na waasi wa Cabinda
Sep 07, 2016 08:44Waasi wa kundi la FLEC linalopigania kujitenga eneo la Cabinda huko Angola wamedai kuwa wameua wanajeshi wa serikali wasiopungua 12 katika eneo tajiri kwa mafuta kusini mwa nchi hiyo.
-
Mapigano kati ya waasi na vikosi vya jeshi huko Walikale Kongo DR
Sep 06, 2016 03:16Watu wawili wameuawa kwenye mapigano kati ya waasi na vikosi vya jeshi la Kongo katika eneo la Walikale nchini humo.
-
Kongo yawatuhumu waasi sita kwa kuua raia
Aug 20, 2016 23:28Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imewatuhumu wanachama sita wa kundi la waasi wa Uganda kwa kushiriki katika mauaji wiki iliyopita, ambapo makumi ya raia waliuliwa mashariki mwa Kongo.
-
Makumi ya waasi wa ADF wakamatwa mashariki mwa Kongo
Aug 19, 2016 11:34Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema kuwa makumi ya waasi wa Uganda wamekamatwa mashariki mwa Kongo.
-
Watu 5 wauawa katika mapigano Mali, askari 5 watoweka
Aug 09, 2016 23:08Kwa akali watu watano wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa katika mapigano makali yaliyojiri kati kati ya Mali, huku duru za kiusalama zikiarifu kuwa askari watano wa serikali wametoweka baada ya kujiri mapigano hayo.