-
Uganda yaahidi kuisaidia DRC kupambana na waasi wa ADF
Aug 05, 2016 04:52Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameahidi kuwa serikali yake itaisaidia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo kukabiliana na kundi la waasi la ADF-Nalu ambalo limekuwa tishio la muda mrefu la nchi mbili hizo jirani.
-
Waasi wa FLEC wadai kuua askari 17 wa jeshi la Angola
Aug 02, 2016 07:57Waasi wa kundi linalopigania kujitenga eneo la Cabinda nchini Angola FLEC wamedai kwamba wameua askari 17 wa nchi hiyo katika makabiliano makali yaliyojiri mwishoni mwa wiki iliyomalizika.
-
Waasi wa Uganda washambulia Beni mashariki mwa Kongo, waua watu kadhaa
Jul 31, 2016 16:18Waasi wa Uganda wameshambulia eneo la Beni huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kuua watu kadhaa na kuwajeruhi wengine.
-
Kuongezeka mgawanyiko wa kisiasa Sudan Kusini
Jul 25, 2016 11:18Mgawanyiko wa kisaisa umeshadidi huko Sudan Kusini kufuatia Riek Machar kiongozi wa waasi wa nchi hiyo kumfukuza Taban Deng Gai kwa upande mmoja; na matamshi ya kiwanagenzi ya Deng Gai na sisitizo lake la kusalia katika nafasi yake kwa upande wa pili.
-
Mapigano mengine yaibuka mashariki mwa Congo kati ya jeshi na waasi wa Mai-Mai
Jul 23, 2016 04:14Mapigano mapya yameripotiwa kutokea kati ya waasi wa Mai-Mai na jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
39 wauawa na kujeruhiwa katika hujuma dhidi ya kambi ya jeshi Mali
Jul 20, 2016 07:31Askari 12 wa jeshi la Mali wameuawa katika shambulizi lililotekelezwa na waasi mapema jana katikati mwa nchi hiyo ya Magharibi mwa Afrika.
-
MONUSCO: Uganda na Congo zishirikiane kuwamaliza waasi
Jul 19, 2016 07:40Ujumbe wa Umoja wa Mataifa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (MONUSCO) umetoa wito wa kufanyika mashambulizi ya pamoja ya nchi za Uganda na Congo dhidi ya waasi The Allied Democratic Forces (ADF) wanaodhaniwa kufanya mauaji ya raia huko mashariki mwa Congo.
-
Kuanza utekelezaji wa mpango wa kuwapokonya silaha waasi DRC
Jul 18, 2016 08:10Mpango wa kuwapokonya silaha waasi walioko katika mkoa wa Ituri huko kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo umeanza kutekelezwa.
-
Waasi wa ADF waua watu 9 kaskazini mwa Kongo DR
Jul 06, 2016 04:31Watu 9 wameuawa na kundi la waasi wa ADF-Nalu wa Uganda kaskazini mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.
-
Silaha za waasi zanaswa kusini mashariki mwa Kongo DR
Jul 03, 2016 13:26Duru za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasa ya Kongo zimearifu habari ya kukamatwa idadi kadhaa ya silaha zilizokuwa zikimilikiwa na waasi huko kusini mashariki mwa nchi hiyo.