-
Silaha za waasi zanaswa kusini mashariki mwa Kongo DR
Jul 03, 2016 08:56Duru za kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasa ya Kongo zimearifu habari ya kukamatwa idadi kadhaa ya silaha zilizokuwa zikimilikiwa na waasi huko kusini mashariki mwa nchi hiyo.
-
Rais Museveni: Waasi wa ADF ndio wanaowaua Wanazuoni wa Kiislamu
Jul 01, 2016 03:26Rais Yoweri Museveni wa Uganda amesema kundi la waasi la ADF-Nalu, linaloendeleza harakati zake mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ndilo limehusika na mauaji ya hivi karibuni ya viongozi na wasomi wa Kiislamu nchini Uganda.
-
Makumi wauawa katika mapigano kati ya jeshi na waasi Sudan Kusini
Jun 29, 2016 08:53Makumi ya watu wameuawa katika wimbi jipya la mapigano kati ya askari wa jeshi la serikali na waasi katika mji wa Wau nchini Sudan Kusini.
-
Waasi wa Uganda waendelea kufanya uhalifu CAR
Jun 17, 2016 03:53Mkuu wa mkoa wa mashariki mwa Jamhuri ya Afrika ya Kati ametangaza kuwa waasi wa kundi la Lord's Resistance Army (LRA) kutoka Uganda wameteka nyara watu 17 na kuwapeleka kusikojulikana.
-
Uganda kuondoa askari wake wanaowasaka waasi wa LRA, nchini CAR
Jun 10, 2016 23:48Uganda imesema karibuni hivi itawaondoa askari wake wanaoongoza katika operesheni ya kuwasaka waasi wa Lord's Resistance Army (LRA) katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.
-
Kuendelea hali tete Burundi licha ya makataa yaliyotolewa na Nkurunziza
Jun 03, 2016 10:16Hali imeendelea kuwa tete nchini Burundi licha ya Rais Pierre Nkurunzinza kutoa muda maalumu kwa kundi la wapinzani wa serikali, wa kuachana na upinzani wao.
-
Usalama warejea kikamilifu kaskazini mwa Uganda
May 28, 2016 11:32Kamanda mmoja wa jeshi la Uganda amesema kuwa, hali ya usalama imesharejea kaskazini mwa nchi hiyo, na ndio maana sheria ya hali ya hatari imeondolewa.
-
Waasi kadhaa watiwa mbaroni mashariki mwa DRC
May 21, 2016 11:27Afisa mmoja mwandanamizi wa jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo ametangaza habari ya kutiwa mbaroni waasi kadhaa wa kundi la Mai Mai, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Jeshi la DRC laanzisha operesheni mpya dhidi ya waasi wa Uganda
May 15, 2016 02:15Jeshi la Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo limeanzisha opereseheni mpya ya kijeshi dhidi ya waasi wa Uganda, mashariki mwa nchi hiyo.
-
Rais Paul Kagame akanusha nchi yake kuwasaidia waasi wa Burundi
May 14, 2016 02:14Rais Paul Kagame wa Rwanda amekanusha nchi yake kuwasaidia waasi wa Burundi kama ilivyokuja katika ripoti ya siri iliyowasilishwa kwa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.