Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Hofu ya Waislamu Italia baada ya kuchaguliwa serikali ya mrengo wa kulia

    Hofu ya Waislamu Italia baada ya kuchaguliwa serikali ya mrengo wa kulia

    Sep 26, 2018 10:23

    Waislamu nchini Italia wameelezea wasiwasi wao kutokana na kuchaguliwa serikali yenye misimamo mikali ya mrengo wa kulia katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Amnesty: China imetenganisha malaki ya familia za Waislamu

    Amnesty: China imetenganisha malaki ya familia za Waislamu

    Sep 24, 2018 10:32

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International sambamba na kulaani ukandamizaji unaofanywa na vyombo vya usalama dhidi ya Waislamu nchini China, limesema kuwa mamia ya maelfu ya familia za Waislamu nchini humo zimelazimika kutengana na jamaa zao kutokana na dhulma hizo za serikali.

  • Mashambulizi dhidi ya wanawake wa Kiislamu yaongozeka Ubelgiji

    Mashambulizi dhidi ya wanawake wa Kiislamu yaongozeka Ubelgiji

    Sep 09, 2018 23:40

    Takwimu zinaonesha kuwa, karibu asilimia 76 ya wanawake Waislamu nchini Ubelgiji walishambuliwa na magenge ya watu wanaopinga Uislamu nchini humo katika mwaka uliopita wa 2017.

  • Waislamu Uingereza wataka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Boris Johnson

    Waislamu Uingereza wataka hatua kali zichukuliwe dhidi ya Boris Johnson

    Aug 13, 2018 22:23

    Waislamu wa Uingereza wametaka uchunguzi kamili ufanyika kuhusu waziri wa zamani wa mambo ya nje wa nchi hiyo, Boris Johnson ambaye amewakashifu Waislamu.

  • CAIR: Uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka California Marekani

    CAIR: Uhalifu unaotokana na chuki dhidi ya Waislamu umeongezeka California Marekani

    Aug 11, 2018 22:04

    Baraza la Uhusiano wa Kiislamu nchini Marekani (CAIR) limetangaza kuwa, vitendo vya uhalifu vinavyotokana na chuki dhidi ya Waislamu vimeongezeka katika jimbo la California nchini humo.

  • Kuthibiti kutokuwa na hatia wafuasi wa Sheikh Zakzaky wa Harakati ya Kiislamu Nigeria

    Kuthibiti kutokuwa na hatia wafuasi wa Sheikh Zakzaky wa Harakati ya Kiislamu Nigeria

    Aug 01, 2018 21:54

    Hatimaye, baada ya miaka miwili, Mahakama ya Juu ya katika jimbo la Kaduna nchini Nigeria, baada ya kusikiliza kesi dhidi ya wafuasi 100 wa Harakati ya Kiislamu ya Nigeria imeamua kuwaachilia huru.

  • Rais wa Ufilipino aidhinisha kuundwa eneo lenye mamlaka ya ndani la Waislamu nchini humo

    Rais wa Ufilipino aidhinisha kuundwa eneo lenye mamlaka ya ndani la Waislamu nchini humo

    Jul 27, 2018 03:15

    Rais Rodrigo Duterte wa Ufilipino amesaini muswada wa sheria inayoruhusu kuundwa eneo jipya lenye mamlaka ya ndani la Waislamu kusini mwa nchi hiyo.

  • Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa Myanmar

    Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa Myanmar

    Jul 21, 2018 02:57

    Shirika moja la kimataifa la madaktari wataalamu limesema limekusanya ushahidi unaoonyesha wazi kuwa Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa nchini Myanmar.

  • Waislamu wa Bosnia wazika mabaki ya wenzao 35 waliouawa Srebrenica

    Waislamu wa Bosnia wazika mabaki ya wenzao 35 waliouawa Srebrenica

    Jul 11, 2018 09:15

    Maelfu ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina wamekusanyika hii leo katika mji wa Srebrenica kuadhimisha miaka 23, tangu yafanyike mauaji mabaya zaidi ya umati katika nchi hiyo ya Ulaya, baada ya Vita vya Pili vya Dunia.

  • Serikali ya Uswisi yakataa pendekezo la kupiga marufuku burqa

    Serikali ya Uswisi yakataa pendekezo la kupiga marufuku burqa

    Jun 27, 2018 09:15

    Serikali ya Uswisi imepinga kampeni zinazofanyika mashinani za kushinikiza marufuku ya nchi nzima ya vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS