Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waislamu

  • Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa Myanmar

    Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa Myanmar

    Jul 21, 2018 02:57

    Shirika moja la kimataifa la madaktari wataalamu limesema limekusanya ushahidi unaoonyesha wazi kuwa Waislamu Warohingya wanauawa kwa umati na kubakwa nchini Myanmar.

  • Waislamu wa Bosnia wazika mabaki ya wenzao 35 waliouawa Srebrenica

    Waislamu wa Bosnia wazika mabaki ya wenzao 35 waliouawa Srebrenica

    Jul 11, 2018 09:15

    Maelfu ya Waislamu wa Bosnia Herzegovina wamekusanyika hii leo katika mji wa Srebrenica kuadhimisha miaka 23, tangu yafanyike mauaji mabaya zaidi ya umati katika nchi hiyo ya Ulaya, baada ya Vita vya Pili vya Dunia.

  • Serikali ya Uswisi yakataa pendekezo la kupiga marufuku burqa

    Serikali ya Uswisi yakataa pendekezo la kupiga marufuku burqa

    Jun 27, 2018 09:15

    Serikali ya Uswisi imepinga kampeni zinazofanyika mashinani za kushinikiza marufuku ya nchi nzima ya vazi la burqa linalovaliwa na baadhi ya wanawake Waislamu nchini humo.

  • Waislamu Afrika Kusini walaani mauaji ya kikatili msikitini

    Waislamu Afrika Kusini walaani mauaji ya kikatili msikitini

    Jun 15, 2018 11:07

    Baraza la Kisheria la Waislamu la Afrika Kusini (MJC) limelaani vikali shambulizi la kikatili lililotokea Alhamisi katika eneo la Malmesbury karibu na mji wa Cape Town, na kusababisha vifo vya waumini wawili wa Kiislamu na wengine wawili kujeruhiwa.

  • Waislamu Austria walaani azma ya serikali ya kutaka kufunga misikiti nchini

    Waislamu Austria walaani azma ya serikali ya kutaka kufunga misikiti nchini

    Jun 11, 2018 02:46

    Waislamu nchini Austria wamekosoa vikali mpango wa serikali wa kufunga misikiti saba na kuwatimua makumi ya Maimamu na familia zao kutokana na kile inachodai ni mkakati wa kuzuia 'Uislamu wa kisiasa' katika nchi hiyo ya Ulaya.

  • Kuna hatari mamilioni ya Waislamu India wakafikwa na maafa ya Waislamu wa Myanmar

    Kuna hatari mamilioni ya Waislamu India wakafikwa na maafa ya Waislamu wa Myanmar

    May 31, 2018 20:23

    Zaidi ya watu milioni 7 wakiwemo wanawake milioni mbili na laki tisa walioolewa wametakiwa kuthibitisha uraia wao nchini India.

  • Wanawake Waislamu Denmark wapigwa marufuku kuvaa niqabu

    Wanawake Waislamu Denmark wapigwa marufuku kuvaa niqabu

    May 31, 2018 20:22

    Serikali ya Denmark imepiga marufuku vazi la burqa au niqabu linalovaliwa na baadhi ya wanawake wa Kiislamu.

  • Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo

    Ukosoaji wa UN kwa serikali ya Ufaransa kwa kuamiliana vibaya na Waislamu wa nchi hiyo

    May 29, 2018 03:47

    Umoja wa Mataifa umeikosoa serikali ya Ufaransa kwa namna inavyoamiliana na Waislamu na inavyokabiliana na ugaidi na athari za hatua zake hizo ambazo zinatia wasiwasi kwa kutishia uhuru wa mtu binafsi.

  • Wafungwa Waislamu Marekani wanyimwa chakula, walazimishwa kula nyama ya nguruwe

    Wafungwa Waislamu Marekani wanyimwa chakula, walazimishwa kula nyama ya nguruwe

    May 24, 2018 10:08

    Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limewasilisha faili la kesi mahakamani kuwashtaki maafisa wa Idara ya Magereza ya Alaska, kwa kuwanyima chakula wafungwa Waislamu mbali na kuwalazimisha kula nyama ya nguruwe katika mwezi huu wa Ramadhani.

  • Waziri wa Uhajiri wa Denmark atoa matamshi ya kuuvunjia heshima mwezi mtukufu wa Ramadhani

    Waziri wa Uhajiri wa Denmark atoa matamshi ya kuuvunjia heshima mwezi mtukufu wa Ramadhani

    May 22, 2018 03:31

    Waziri wa Uhajiri, Mshikamano na Maskani wa Denmark ametoa matamshi ya chuki na uadui dhidi ya Uislamu kwa kuwataka Waislamu wa nchi hiyo wanapoanza kufunga na katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani wachukue likizo makazini akidai kwamba amali za mwezi huo ni "hatari" kwa watu wote nchini humo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS