Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakala

  • Iran yapinga azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA

    Iran yapinga azimio la Bodi ya Magavana ya IAEA

    Jun 20, 2020 04:24

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa hatua ya Uingereza, Ufaransa na Ujerumani kuandamana na Marekani katika azimio dhidi ya Iran ambalo limepasishwa katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA

    Iran yasema ikilazimu, itaangalia upya ushirikiano wake na IAEA

    Jan 19, 2020 08:04

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amezionya nchi za Ulaya kuwa, Tehran italazimika kuangalia upya ushirikiano wake na Wakala wa Kimataifa wa Niashati ya Atomiki (IAEA) iwapo EU itaendelea kuchukua hatua zisizo za kiadilifu juu ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Bei ya mafuta huenda ikaongezeka kwa hadi dola 10 kwa pipa baada ya kushambuliwa shirika la mafuta la Saudia

    Bei ya mafuta huenda ikaongezeka kwa hadi dola 10 kwa pipa baada ya kushambuliwa shirika la mafuta la Saudia

    Sep 15, 2019 12:27

    Vyombo vya habari vinavyojishughulisha na masuala ya uchumi duniani kama vile gazeti la Financial Times na televisheni ya CNBC vimesema kuwa, huenda bei ya mafuta ikapanda vibaya kwa hadi dola 10 kwa pipa baada ya ndege zisizo na rubani za jeshi la Yemen kufanya mashambulizi ya kulipiza kisasi dhidi ya taasisi kubwa zaidi ya mafuta a Saudi Arabia.

  • Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Nov 30, 2018 07:25

    Kenya imeomba msaada wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuisaidia kuimarisha matibabu ya saratani katika hospitali mbili kubwa nchini humo na pia kueneza huduma hizo za matibabu katika miji mingine mitatu.

  • IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    Nov 23, 2018 07:59

    Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Indhari ya Shirika la Kimataifa la Nishati kuhusu kupanda bei ya mafuta

    Indhari ya Shirika la Kimataifa la Nishati kuhusu kupanda bei ya mafuta

    Oct 13, 2018 02:44

    Shirika la Kimataifa la Nishati limetahadharisha kuwa ongezeko la bei ya mafuta limekuwa na taathira hasi kwa ustawi wa uchumi wa dunia katika kivuli cha vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kupungua uuzaji nje wa mafuta ya Venezuela.

  • Indhari ya Shirika la Kimataifa la Nishati kuhusu kuiwekea vikwazo vya mafuta Iran

    Indhari ya Shirika la Kimataifa la Nishati kuhusu kuiwekea vikwazo vya mafuta Iran

    Aug 12, 2018 07:15

    Rais Donald Trump wa Marekani tarehe Nane Mei mwaka huu alikariri madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran na kutangaza kujitoa Marekani katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA na kuvirejesha vikwazo vya nyuklia katika muda wa miezi mitatu hadi sita ijayo. Duru ya kwanza ya vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran imeanza kutekelezwa tangu tarehe 7 mwezi huu wa Agosti; hatua iliyolaaniwa vikali kimataifa.

  • Inspekta Mkuu wa IAEA ajiuzulu baada ya Marekani kujiondoa JCPOA

    Inspekta Mkuu wa IAEA ajiuzulu baada ya Marekani kujiondoa JCPOA

    May 12, 2018 07:20

    Inspekta Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ametangaza kujiuzulu ghafla, siku chache baada ya Rais Donald Trump kuiondoa Marekani kwenye makubaliano ya nyuklia ya Iran.

  • IAEA: Hakuna ithibati yenye itibari kuhusu madai kwamba Iran inaunda silaha za nyuklia

    IAEA: Hakuna ithibati yenye itibari kuhusu madai kwamba Iran inaunda silaha za nyuklia

    May 01, 2018 14:18

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umesema tokea mwaka 2009 hakuna kielelezo wala ithibati yenye itibari inayoonyesha kuwa miradi ya nyuklia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina malengo ya kijeshi.

  • Matarajio ya nchi wanachama wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA na majukumu ya wakala huo

    Matarajio ya nchi wanachama wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA na majukumu ya wakala huo

    Mar 07, 2018 10:51

    Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ni taasisi yenye kuratibu jitihada za kimataifa katika masuala ya atomiki na kutoa huduma za kitaalamu na ushauri kwa lengo la kuhimiza na kuimarisha usalama wa nyuklia katika uga wa kimataifa. Lakini swali linalojitokeza hapa ni hili, je, IAEA imeweza kutekeleza vizuri jukumu lake hili la kimsingi?

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS