-
Wayamen karibu milioni 4 wamekuwa wakimbizi kutokana na mashambulio ya Saudia
Dec 30, 2019 07:28Kituo cha Taarifa cha Baraza Kuu la Uongozi na Uratibu wa Masuala ya Kibinadamu nchini Yemen kimetangaza kuwa, karibu watu milioni 4 wa nchi hiyo wamelazimika kuwa wakimbizi kufuatia mashambulio ya anga ya muungano wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia.
-
Watu 39,000 wakimbia makazi yao kufuatia mapigano Tripoli, Libya
Apr 28, 2019 01:14Kufuatia kushadidi mapigano katika mji mkuu wa Libya, Tripoli, watu 39,000 wameripotiwa kukimbia makazi yao katika mji huo.
-
Maelfu ya watu wawa wakimbizi kutokana na mapigano nchini Libya
Apr 11, 2019 01:02Umoja wa Mataifa umetangaza kwamba mapigano ya hivi sasa ya nchini Libya yameshapelekea watu 4500 wa nchi hiyo kuwa wakimbizi.
-
UN: Burkina Faso inasumbuliwa na ongezeko la wakimbizi
Mar 06, 2019 07:20Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, idadi ya wakimbizi wanaosumbuliwa na machafuko ya ndani nchini Burkina Faso imeongezeka na kufikia zaidi ya watu laki moja.
-
Wasiwasi wa UN juu ya maafa ya kibinadamu katika mji wa Al Hudaydah nchini Yemen
Jun 20, 2018 07:31Msemaji wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa watu 26,000 wakazi wa mji wa bandari wa Al-Hudaydah magharibi mwa Yemen wamelazimika kuzihama nyumba na makazi yao baada ya muungano vamizi wa kijeshi unaoongozwa na Saudi Arabia kushambulia eneo hilo.
-
Hali mbaya ya wakimbizi wa Libya; kushindwa asasi za ndani na za kimataifa
Mar 05, 2018 12:49Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya kibinadamu inayowakabili wakimbizi wa Libya katika nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali ya wakimbizi Libya
Feb 28, 2018 16:26Mratibu wa Masuala ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu hali ya kusikitisha ya wakimbizi walioko Libya.
-
Raia wa Sudan Kusini waendelea kuikimbia nchi yao kutokana na machafuko
Feb 01, 2018 02:39Mwakilishi wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR ameelezea ongezeko la raia wa Sudan Kusini wanaokimbia nchi yao kuelekea nchi jirani ya Sudan.
-
IOM: Zaidi ya nusu ya wakimbizi wa Kiiraqi wamerejea makwao
Jan 05, 2018 08:02Shirika la Kimataifa kwa ajili ya Uhajiri (IOM) limetangaza kuwa hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Desemba wa mwaka uliomalizika wa 2017, wakimbizi milioni tatu, laki mbili na 20 elfu wa Kiiraqi walikuwa wamesharejea makwao.
-
UNHCR kuimarisha shughuli zake kusini mwa Nigeria
Dec 30, 2017 04:42Mkuu wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR ametangaza kuwa, shirika hilo limeazimia kuimarisha shughuli zake kusini mwa nchi ya Nigeria ya Magharibi mwa Afrika.