Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbi

  • Ukosoaji wa Amnesty International kwa Umoja wa Ulaya kuhusiana na wahajiri wa Kiafrika

    Ukosoaji wa Amnesty International kwa Umoja wa Ulaya kuhusiana na wahajiri wa Kiafrika

    Dec 13, 2017 00:48

    Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International sambamba na kuyatuhumu madola ya Ulaya kwa kuwaunga mkono viongozi wa Libya wanaoshirikiana na magenge ya magendo ya binadamu limesema kuwa, madola hayo yanashirikiana katika ukiukaji wa haki za wahajiri nchini humo.

  • Wasiwasi wa UN kuhusu hali ya wakimbizi wa Congo DR

    Wasiwasi wa UN kuhusu hali ya wakimbizi wa Congo DR

    Dec 09, 2017 16:08

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa inasema kuwa, watu karibu milioni 2 wamelazimika kuhama makazi yao mwaka huu pekee huko katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kwa kuhofia ukatili na mauaji.

  • AU na EU zataka kutatuliwa mgogoro wa wahajiri wa Kiafrika

    AU na EU zataka kutatuliwa mgogoro wa wahajiri wa Kiafrika

    Dec 02, 2017 05:00

    Umoja wa Afrika na Umoja wa Ulaya zimetilia mkazo udharura wa kutafutwa ufumbuzi wa kimsingi wa hali mbaya ya wakimbizi na wahajiri wa Kiafrika.

  • UN: Wakimbizi Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa

    UN: Wakimbizi Waislamu wa Rohingya wanakabiliwa na hatari kubwa

    Nov 19, 2017 12:55

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa una wasiwasi kuhusu hatari zinazowakabili Waislamu wakimbizi wa Rohingya katika wimbi la kufukuzwa huko Myanmar.

  • UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini

    UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini

    Oct 27, 2017 04:13

    Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika mji mkuu wa nchi jirani ya Sudan, Khartoum.

  • The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    The Gardian: UN inashirikiana na Myanmar kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Waislamu wa Rohingya

    Oct 17, 2017 11:42

    Gazeti la The Gardian linalochapishwa nchini Uingereza limefichua kuwa Umoja wa Mataifa unashirikiana na serikali ya Myanmar katika kuficha dhulma na ukandamizaji unaofanywa na serikali ya nchi hiyo dhidi ya Waislamu wa jamii ya Rohingya.

  • UN: Waislamu wa Rohingya, mgogoro mkubwa zaidi wa wakimbizi duniani

    UN: Waislamu wa Rohingya, mgogoro mkubwa zaidi wa wakimbizi duniani

    Sep 24, 2017 10:22

    Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema kuwa, kitendo cha wanajeshi na mabudha wa Myanmar cha kuwalazimizisha Waislamu wa Rohingya wakimbie makazi yao kimesababisha kuzuka mgogoro mkubwa zaidi wa wakimbizi duniani.

  • Serikali ya Kongo DR yaanza uchunguzi kuhusu mauaji ya wakimbizi wa Burundi

    Serikali ya Kongo DR yaanza uchunguzi kuhusu mauaji ya wakimbizi wa Burundi

    Sep 18, 2017 09:39

    Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imesema kuwa imeanza kuchunguza mauaji ya makumi ya wakimbizi wa Burundi waliouliwa nchini humo.

  • Mafuriko Nigeria yapelekea watu 110,000 kupoteza makazi

    Mafuriko Nigeria yapelekea watu 110,000 kupoteza makazi

    Sep 01, 2017 10:24

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amesema watu zaidi ya laki moja na elfu kumi wamepoteza makazi yao baada ya kutokea mafuruko katika jimbo la Benue katikati mwa nchi hiyo.

  • FAO: Kuna wakimbizi milioni mbili katika mikoa ya Tanganyika na Kasaï Kongo DR

    FAO: Kuna wakimbizi milioni mbili katika mikoa ya Tanganyika na Kasaï Kongo DR

    Jun 29, 2017 10:09

    Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) limetangaza habari ya kuweko wakimbizi milioni mbili katika mikoa miwili ya Tanganyika, mashariki mwa nchi na Kasaï, katikati mwa taifa hilo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS