Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wakimbi

  • UNHCR: Mamilioni ya watu wamekuwa wakimbizi duniani

    UNHCR: Mamilioni ya watu wamekuwa wakimbizi duniani

    Jun 19, 2017 10:58

    Kamisheni Kuu ya Wakimbizi ya Umoja wa Mataifa (UNHCR) imetangaza kuwa, watu milioni 65 na laki sita walikuwa wakimbizi kote duniani hadi kufikia mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2016.

  • UN yaonya kuhusu hali ya watu milioni 130 wanaokabiliwa na hali mbaya ulimwenguni

    UN yaonya kuhusu hali ya watu milioni 130 wanaokabiliwa na hali mbaya ulimwenguni

    Jun 17, 2017 23:21

    Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu milioni 130 katika maeneo mbalimbali duniani wanakabiliwa na mugogoro ya kibinadamu na ukimbizi.

  • Asasi za kiraia zatahadharisha juu ya kuendelea hali mbaya ya wakimbizi Chad

    Asasi za kiraia zatahadharisha juu ya kuendelea hali mbaya ya wakimbizi Chad

    Jun 01, 2017 02:50

    Asasi zisizo za kiserikali zimeonya kuhusiana na kuendelea kuwa mbaya hali ya wakimbizi na mgogoro wa kibinadamu nchini Chad.

  • UN: Matatizo yote ya Wapalestina yanatokana na Israel

    UN: Matatizo yote ya Wapalestina yanatokana na Israel

    May 31, 2017 22:50

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, matatizo yote waliyo nayo Wapalestina hivi sasa yanatokana na kukaliwa kwa mabavu ardhi zao na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Malango: Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia Uganda

    Malango: Wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia Uganda

    May 10, 2017 22:58

    Mratibu wa Umoja wa Mataifa nchini Uganda amesema kuwa, wakimbizi kutoka Sudan Kusini wanaendelea kuingia nchini humo kila siku.

  • UN yataka suala la wakimbizi Libya lishughulikiwe ipasavyo

    UN yataka suala la wakimbizi Libya lishughulikiwe ipasavyo

    Feb 11, 2017 13:08

    Maafisa kadhaa wa ngazi za juu wa Umoja wa Mataifa wametaka kuchukuliwe hatua za kivitendo za kufuatilia hali ya wakimbizi wa nchini Libya.

  • Kuafiki Kenya uakhirishaji tarehe ya kufunga kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani, Dadaab

    Kuafiki Kenya uakhirishaji tarehe ya kufunga kambi kubwa zaidi ya wakimbizi duniani, Dadaab

    Nov 18, 2016 04:39

    Hatimaye baada ya mazungumzo magumu, serikali ya Kenya wiki hii imeafiki kuakhirisha tarehe ya kufungwa kambi ya wakimbizi ya Daadab iliyo karibu na mpaka wa nchi hiyo na Somalia.

  • Wakimbizi wa Iraq warejea katika makazi yao

    Wakimbizi wa Iraq warejea katika makazi yao

    Oct 03, 2016 10:48

    Malefu ya familia za wakimbizi Wairaqi zimerejea katika makazi yao hapo awali baada amani na utulivu kurejea katika baadhi ya maeneo ya Iraq.

  • Somalia na changamoto ya kurejea nyumbani wakimbizi walioke nje ya nchi

    Somalia na changamoto ya kurejea nyumbani wakimbizi walioke nje ya nchi

    Sep 17, 2016 23:35

    Katika hali ambayo vita vya ndani na mizozo ya kikabila inayoendelea sasa katika nchi kadhaa za Kiafrika vimeibua wimbi kubwa la wakimbizi katika nchi jirani za maeneo mbalimbali ya bara hilo, serikali za nchi za bara hilo sasa zinakabiliwa na matatizo mapya ya jinsi ya kurejea wakimbizi hao katika nchi zao baada ya kumalizika vita na machafuko ya ndani katika baadhi ya nchi hizo.

  • UNHCR: Hali ya wakimbizi Sudan Kusini ni mbaya sana

    UNHCR: Hali ya wakimbizi Sudan Kusini ni mbaya sana

    Jul 12, 2016 12:32

    Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa hali ya raia wanaokimbia vita na mapigano ya ndani Sudan Kusini inatia wasiwasi mkubwa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS