-
Wakimbizi wa kambi ya Dadaab Kenya waanza kurejeshwa makwao
Jul 02, 2016 07:52Oparesheni ya kuwarejeshwa makwao wakimbizi waliokuwepo katika kambi ya Dadaab huko Kenya imeanza licha ya kuwepo juhudi za kimataifa za kutaka kuzuia zoezi hilo.
-
Wakimbizi wa kambi ya Dadaab waanza kurejeshwa makwao
Jul 02, 2016 03:33Operesheni ya kuwarejesha makwao wakimbizi wanaoishi katika kambi ya Dadaab huko mashariki mwa Kenya imeanza kutekelezwa.
-
Waliouawa katika mapigano ya hivi karibuni S/Kusini waongezeka
Jul 01, 2016 10:47Waziri wa Habari wa Sudan Kusini amesema kuwa, idadi ya watu waliouawa katika mapigano ya hivi karibuni nchini humo imeongezeka.
-
Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu kuongezeka wakimbizi duniani
Jun 21, 2016 11:26Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limetoa ripoti mpya sambamba na kuadhimishwa Siku ya Wakimbizi Duniani na kutangaza kuwa hadi mwishoni mwa mwaka uliopita wa 2015 idadi ya wakimbizi ilikuwa zaidi ya watu milioni 65.
-
Serikali ya Kenya yaainisha muda wa kuondoka wakimbizi katika kambi ya Daadab
Jun 11, 2016 23:12Serikali ya Kenya imeainisha muhula wa kuondoka maelfu ya wakimbizi wanaoishi kwenye kambi ya Dadaab nchini humo.
-
Indhari ya Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR kuhusiana na hali ya Burundi
May 03, 2016 08:00Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limetoa ripoti na kutangaza kuwa, katika hali ambayo umepita mwaka mmoja tangu mgogoro wa Burundi ulipoibuka, hali ya mambo nchini humo ingali si shwari na kwamba, wananchi wa nchi hiyo wanaendelea kukimbilia katika nchi jirani.
-
Umoja wa Mataifa waitaka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kulitafutia ufumbuzi tatizo la wakimbizi
Apr 27, 2016 23:26Umoja wa Mataifa umeitaka serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo kutafuta ufumbuzi wa kudumu kuhusiana na wakimbizi wa mashariki mwa nchi hiyo.
-
Mateso ya wakimbizi wa Burundi
Mar 01, 2016 07:33Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC wanatazamiwa kukutana mjini Arusha Tanzania Jumatano, Machi 2 kujadili mmambo mbalimbali ya kanda hiyo.