Mateso ya wakimbizi wa Burundi
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i2218-mateso_ya_wakimbizi_wa_burundi
Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC wanatazamiwa kukutana mjini Arusha Tanzania Jumatano, Machi 2 kujadili mmambo mbalimbali ya kanda hiyo.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Mar 01, 2016 07:33 UTC
  • Mateso ya wakimbizi wa Burundi

Marais wa nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC wanatazamiwa kukutana mjini Arusha Tanzania Jumatano, Machi 2 kujadili mmambo mbalimbali ya kanda hiyo.

Mashirika mbalimbali ya kijamii yamesisitizia wajibu wa mkutano huo kulipa kipaumbele cha kwanza suala la mgogoro wa Burundi.

Hapa tumeorodhesha baadhi ya picha zinazoonesha mazingira magumu sana wanayoishi ndani yake wakimbizi wa Burundi wa ndani na nje ya nchi hiyo.