-
Sudan imeingia mwaka wa tatu wa vita; wachezaji wa kikanda wana nafasi gani?
Apr 18, 2025 02:33Wakati vita vya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan vikiingia katika mwaka wake wa tatu, mapigano, kuhama makazi na njaa vimeifanya nchi hiyo kuwa moja ya nchi zilizotumbukia kwenye mgogoro mkubwa zaidi duniani.
-
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Iran: Taasisi za kimataifa ni washirika katika jinai za utawala wa Kizayuni
Aug 11, 2024 11:27Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa taasisi za kimataifa zinashiriki katika jinai za utawala wa Kizayuni.
-
UNHCR: Idadi ya wakimbizi duniani imeongezeka na kufika milioni 120
Jun 14, 2024 07:11Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) limetangaza kuwa, idadi ya wakimbizi duniani imefikia milioni 120.
-
Amnesty International yaitaka mahakama ya ICC kuchunguza jinai za Israel Rafah
May 27, 2024 11:57Shirika la Msamaha Duniani la Amnesty International limeitaka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) kuchunguza jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni katika mji wa Rafah katika Ukanda wa Gaza.
-
Kupingwa njama za Netanyahu za kutaka kususiwa shughuli za UNRWA ndani ya Baraza la Usalama
Apr 19, 2024 15:27Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limefanya kikao kujadili shughuli za Shirika la Umoja wa Mataifa la Misaada kwa Wakimbizi wa Palestina (UNRWA) kufutia maombi ya Algeria na Jordan.
-
Kimbunga Batsirai kusababisha watu 150,000 kupoteza makazi Madagascar
Feb 05, 2022 04:42Huenda watu 150,000 wakakosa pahala pa kuishi kutokana athari za Kimbunga cha Batsirai kinachotazamiwa kukipiga kisiwa cha Madagascar leo Jumamosi.
-
Siku ya Wakimbizi; kuzidi kuwa kubwa mgogoro wa jamii ya wakimbizi duniani
Jun 22, 2021 08:05Tarehe 20 Juni katika kalenda ya Umoja wa Mataifa, ni Siku ya Wakimbizi ulimwenguni. Siku hiyo huadhimishwa kila mwaka kwa njia mbalimbali.
-
Idadi ya wakimbizi haijapungua licha ya kuweko sheria kali za corona duniani
Jun 19, 2021 02:24Idadi ya wakimbizi duniani haijapungua licha ya sheria kali za kukabiliana na ugonjwa wa COVID-19 zinazoendelea kuchukuliwa na nchi mbalimbali duniani.
-
UN yatahadharisha kuhusu hali mbaya ya kibinadamu nchini Kongo
Feb 28, 2021 08:11Umoja wa Mataifa umetoa ripoti na kutahadharisha kuhusu kuendelea mapigano ya silaha na kuongezeka vitendo vya utumiaji mabavu vinavyofanywa na wanamgambo wanaobeba silaha na hivyo kusababisha mamilioni ya watu kuwa wakimbizi.
-
Guterres ataka kuzidishwa jitihada za kushughulikia tatizo la wakimbizi
Feb 26, 2020 04:32Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kuzidishwa jitihada za kukabiliana na tatiizo la uukimbizi kote duniani.