Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

wanajeshi wa Israel

  • Mkuu wa Haki za Binadamu UN alaani ukatili wa Israel huko Ghaza

    Mkuu wa Haki za Binadamu UN alaani ukatili wa Israel huko Ghaza

    Apr 27, 2018 09:22

    Mkuu wa masuala ya haki za binadamu katika Umoja wa Mataifa ameulaani vikali utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kutumia nguvu ziada dhidi ya waandamanaji Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza jambo ambalo limepelekea makumi kuuawa katika kipindi cha mwezi mmoja uliopita.

  • Ndege za Israel zawavurumishia mabomu Wapalestina Ukanda wa Ghaza

    Ndege za Israel zawavurumishia mabomu Wapalestina Ukanda wa Ghaza

    Jun 27, 2017 03:27

    Ndege za kivita za utawala wa Kizayuni wa Israel zimevurumisha makombora kadhaa katika Ukanda wa Ghaza wakati Wapalestina katika eneo hilo wakiwa wanasherehekea siku kuu ya Idul Fitr.

  • Israel yawateka nyara wanaharakati wanawake wakielekea Gaza

    Israel yawateka nyara wanaharakati wanawake wakielekea Gaza

    Oct 06, 2016 12:16

    Jeshi la majini la utawala wa Kizayuni wa Israel limewateka nyara wanaharakati wanawake wa Marekani akiwemo Ann Wright, mwanadiplomasia mashuhuri na mtetezi wa haki za binadamu, wakiwa kwenye boti wakielekea katika Ukanda wa Gaza.

  • UNICEF: Israel imeua watoto 25 wa Kipalestina katika muda wa miezi 3

    UNICEF: Israel imeua watoto 25 wa Kipalestina katika muda wa miezi 3

    May 15, 2016 23:26

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umesema watoto 25 wa Kipalestina waliuawa katika kipindi cha miezi mitatu ya mwisho ya mwaka 2015, wakati ilipoanza Intifadha ya Quds dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Hizbullah yachunguza namna alivyouawa kamanda wake

    Hizbullah yachunguza namna alivyouawa kamanda wake

    May 13, 2016 03:17

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Lebanon ya Hizbullah imesema imeanzisha uchunguzi kubaini namna kamanda wake mwandamizi alivyouawa katika kile kilichotajwa kuwa hujuma ya jeshi la utawala haramu wa Israel.

  • Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali

    Hamas: Hujuma mpya ya Israel Ukanda wa Gaza itapata jibu kali

    May 06, 2016 23:50

    Naibu Mkuu wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ameuonya Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mashambulizi yake mapya katika Ukanda wa Gaza huku uvamizi huo mpya wa Tel Aviv katika eneo hilo ukiingia siku yake ya nne Jumamosi.

  • Jeshi la Israel laanzisha mashambulizi dhidi ya kambi za Hamas, Gaza

    Jeshi la Israel laanzisha mashambulizi dhidi ya kambi za Hamas, Gaza

    May 04, 2016 22:14

    Jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel limeshambulia kwa makombora minara ya kijeshi inayomilikiwa na harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Palestina Hamas katika Ukanda wa Gaza.

Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS