-
Askari 5 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
Jun 09, 2018 03:35Askari mmoja wa Marekani ameuawa huku wengine wanne wakijeruhiwa katika operesheni ya pamoja ya vikosi vya US na askari wa Umoja wa Afrika dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab nchini Somalia.
-
Russia: Kampeni ya US huko Afghanistan imefeli, iondoe askari wake
Aug 15, 2017 02:43Mjumbe maalumu wa Rais wa Russia nchini Afghanistan amesema kampeni na uwepo wa vikosi vya Marekani nchini Afghanistan haujawa na tija yeyote hadi sasa na kwa msingi huo Washington inafaa kuwaondoa wanajeshi wake nchini humo mara moja.
-
Askari 3 wa Marekani wauawa na kujeruhiwa na al-Shabaab Somalia
May 05, 2017 23:42Askari mmoja wa Marekani ameuawa kwa kufyatuliwa risasi katika operesheni ya pamoja ya US na jeshi la Somalia dhidi ya ngome ya wanamgambo wa kundi la kigaidi na kitakfiri la al-Shabaab.
-
Iraq yaikatalia Marekani kuweka kambi zake za kijeshi nchini humo
Mar 29, 2017 09:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iraq amesema kuwa nchi yake haiwezi kuiruhusu Marekani kuweka kambi zake za kijeshi katika ardhi ya nchi hiyo.
-
Madai ya makosa ya kibinadamu, mbinu kuu ya kuhalalisha jinai za Marekani
Dec 01, 2016 08:38Tume ya uchunguzi ya Wizara ya Ulinzi ya Marekani Pentagon imekiri rasmi kuwa ndege za kivita za nchi hiyo zilishambulia maeneo ya wanajeshi wa Syria huko Deir ez-Zor, mashariki mwa nchi hiyo.