-
Kikao cha Baraza la Usalama kuhusu vita vya Gaza; muendelezo wa uungaji mkono wa Marekani kwa utawala wa Kizayuni
Jul 28, 2024 02:29Suala la hali mbaya ya Ukanda wa Gaza siku ta Ijumaa kwa mara nyingine tena liliwekwa katika ajenda ya utendaji ya kikao cha nchi 15 wanachama wa Baraza la Usalama la UN sambamba na Bejamin Netanyahu Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni kushiriki katika kikao hicho huko Marekani.
-
Uamuzi wa Mahakama ya Hague kuhusu Rafah: Kushindwa kwingine kwa utawala wa Kizayuni
May 27, 2024 02:19Mahakama ya Kimataifa ya Haki iliyo na makao makuu yake mjini The Hague, Uholanzi , ambacho ni chombo cha juu zaidi cha mahakama cha Umoja wa Mataifa, iliamua Ijumaa, Mei 24, kwamba Israel lazima isimamishe "mara moja" mashambulizi yake ya kijeshi huko Rafah, kusini mwa Ukanda wa Gaza.
-
Marekani kukanusha tena kutokea mauaji ya kimbari huko Ukanda wa Gaza, ni kukana ukweli ulio wazi
May 16, 2024 04:25Licha ya Wapalestina zaidi ya elfu 35,000 kuuawa shahidi na utawala wa kigaidi wa Israel huko Ukanda wa Gaza, lakini Jake Sullivan, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Ikulu ya White House nchini Marekani amedai bila kuona haya kwamba serikali ya Rais Joe Biden haiyachukulii mauaji hayo kuwa ni mauaji ya halaiki.
-
Kuongezeka ukatili dhidi ya wanafunzi wa vyuo vikuu nchini Marekani wanaounga mkono Palestina
May 03, 2024 10:44Huku maandamano ya wanafunzi wa vyuo vikuu vya Marekani yakiendelea kufanyika kwa lengo la kupinga jinai za utawala wa Kizayuni huko Gaza na vilevile kwa ajili ya kuwaunga mkono Wapalestina, polisi wa nchi hiyo wameongeza hatua zao za ukandamizaji dhidi ya wanafunzi hao.
-
Mbali na walionyofolewa viungo, Wapalestina wengine walizikwa wakiwa hai kwenye makaburi ya halaiki Ghaza
Apr 27, 2024 02:47Wahudumu wa afya, timu za uokoaji na mashirika ya kutetea haki za binadamu yanawashutumu askari vamizi wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kwa kuwanyofoa viungo Wapalestina na hata kuwazika baadhi yao wakiwa hai kwenye makaburi ya halaiki yaliyogunguliwa kwenye eneo la karibu na Hospitali ya Nasser huko Ukanda wa Ghaza, baada ya askari hao katili kuondoka katika eneo hilo Aprili 7 kufuatia mashambulizi ya ardhini ya miezi minne.
-
Wapalestina zaidi ya 400 wameuawa shahidi katika hospitali ya al Shifa iliyozingirwa
Mar 31, 2024 11:33Vyombo vya habari kutoka Ukanda wa Gaza vimetangaza kuwa Wapalestina zaidi ya 400 wameuawa katika mashambulizi ya jeshi la Israel katika Hospitali ya al Shifa ambayo inaendelea kuzingirwa na utawala wa Kizayuni kwa siku ya 13 sasa.
-
Ushiriki wa Ireland katika kesi ya Afrika Kusini dhidi ya Israel kutokana na mauaji ya kimbari Gaza
Mar 30, 2024 04:31Ireland ilitangaza Jumatano, Machi 27, kwamba itashiriki katika kesi iliyowasilishwa na Afrika Kusini katika Mahakama ya Kimataifa ya Haki (ICJ) dhidi ya utawala wa Isarel kutokana na mauaji ya kimbari yanayotekelezwa na utawala huo huko Gaza.
-
Undumakuwili wa Marekani kuhusiana na utawala wa Kizayuni na vita vya Gaza
Mar 26, 2024 02:09Marekani, ikiwa ni mshirika muhimu zaidi na muungaji mkono asiye na masharti wa utawala wa Kizayuni wa Israel, inatekeleza sera ya undumakuwili kuhusu utawala huo na jinai zake. Kwa upande mmoja, katika kitendo cha kuonyesha mshikamano na Israel, Washington imetangaza msaada mpya wa kijeshi kwa utawala huo sambamba na kukata misaada kwa Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi Wapalestina UNRWA.
-
Kuongezeka uungaji mkono wa wananchi wa Marekani kwa Wapalestina
Mar 05, 2024 07:42Matokeo ya uchunguzi wa maaoni uliofanywa na jarida la Wall Street Journal yanaonyesha kuwa, wananchi wengi wa Marekani hawaridhishwi na utendaji kazi wa Rais Joe Biden katika vita vya Gaza.
-
Ushindi wa mtetezi wa Palestina katika uchaguzi wa Bunge la Uingereza na onyo kali la Sunak
Mar 03, 2024 02:15Licha ya kuwa Uingereza inahesabiwa kuwa ni miongoni mwa waungaji mkono wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, lakini mielekeo ya kisiasa na kijamii inaashiria kwamba waungaji mkono wa Wapalestina wanazidi kupata nguvu katika nchi hiyo ya Ulaya, suala ambalo limeibua onyo la Waziri Mkuu wa kihafidhina wa Uingereza, Rishi Sunak.