-
Waziri Mkuu wa Libya yupo tayari kufanya mazungumzo na Haftar
Oct 24, 2016 09:48Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa na Baraza la Uongozi la Libya amesema yupo tayari kufanya mazungumzo na kamanda wa jeshi la taifa la nchi hiyo lililoko mashariki mwa nchi hiyo ili kutatua mgogoro wa Libya.
-
Bunge la Tunisia lapiga kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu
Jul 31, 2016 03:12Bunge la Tunisia limepitisha kwa wingi mkubwa, kura ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Habib Essid.
-
Salim al Jabouri asisitiza kuundwa serikali yenye nguvu Iraq
Apr 17, 2016 10:49Spika wa bunge la Iraq amesema kuwa nchi hiyo inaweza kuvijua na matatizo iliyonayo iwapo serikali imara itaundwa nchini humo.
-
Waziri Mkuu wa Madagascar amejiuzulu pamoja na baraza lake la mawaziri.
Apr 08, 2016 23:26Taarifa ya kujiuzulu Jean Ravelonarivo Waziri Mkuu wa Madagascar na baraza lake la mawaziri ilitolewa jana Ijumaa na afisa katika ofisi ya rais ambaye hakutoa maelezo yoyote.