-
Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani
Mar 17, 2025 10:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na ya uingiliaji ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran, kwamba serikali ya Washington haina haki ya kuilazimisha Iran itekeleze siasa za kigeni zinazoendana na maslahi ya Washington.
-
Misaada ya kijeshi na silaha ambayo haijawahi kutolewa mfano wake ya serikali ya Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 04, 2025 02:58Sambamba na Marekani kukata misaada yake kwa Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, siku ya Jumapili alitumia mamlaka ya dharura aliyonayo kisheria kupitisha mpango wa utoaji msaada wa shehena ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 4 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway: Hali ya Gaza ni sawa na Jahanamu ya duniani
Jan 25, 2024 07:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway amekemea mashambulizi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel na hali mbaya ya Ukanda wa Gaza katika nyanja zote za kibinadamu na kijamii na kusema: "Hali ya hivi sasa katika eneo hilo ni sawa na Jahanamu ya duniani."
-
Ombi la Italia la kuunda jeshi la Ulaya
Jan 09, 2024 02:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Italia, Antonio Tajani, amesema kwamba Umoja wa Ulaya unapaswa kuunda jeshi lake la pamoja ambalo linaweza kuwa na jukumu la kudumisha amani na kuzuia migogoro.
-
Hatua mpya ya serikali ya Biden ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni
Dec 30, 2023 11:12Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Marekani imetangaza kupitia taarifa kuwa imetumia mamlaka iliyopewa kisheria kuuzia utawala wa haramu wa Israel shehena ya silaha bila idhini ya wabunge wa Kongresi ya nchi hiyo.
-
Uhalalishaji Marekani kura yake ya turufu kuhusu mauaji ya kimbari ya Wazayuni huko Gaza
Dec 12, 2023 02:39Licha ya matakwa ya kimataifa ya kusitishwa mara moja vita vya mauaji ya kimbari ya Wazayuni dhidi ya watu wa Gaza, lakini Marekani ikiwa ni mshirika wa kistratijia wa utawala wa Kizayuni, imepinga maombi hayo na inaendelea kuwasha moto wa vita hivyo vya umwagaji damu kwa kutuma silaha za kila aina huko Gaza.
-
Chokochoko mpya zilizoanzishwa na Biden kuhusiana na China
Jun 23, 2023 02:27Rais Joe Biden wa Marekani siku ya Jumanne wiki hii alimfananisha mwenzake wa China, Xi Jinping na madikteta.
-
Safari ya kwanza ya Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani nchini China baada ya miaka mitano
Jun 19, 2023 13:11Anthony Blinken Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani Jumapili ya jana tarehe 18 Juni aliwasili Beijing mji mkuu wa China, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kupunguza mvutano unaoongezeka kati ya nchi mbili hizo ambao umezitia wasiwasi nchi nyingi.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela kuhusu uhusiano wa jadi na Iran
Mar 05, 2023 08:42Ivan Khel Pinto, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Al Mayadeen kwamba, uhusiano mzuri wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu, ni wa jadi na ni mkubwa.
-
Kumbukumbu ya miaka 20 ya uongo mkubwa wa Marekani kuhalalisha shambulio dhidi ya Iraqi
Feb 06, 2023 13:04Miaka 20 iliyopita yaani Februari 5, 2003, Colin Powell, aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani alishiriki katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa mjini New York na kuonyesha bomba la majaribio lililokuwa na mada za kimeta na kudai kuwa ni ushahidi wa kuwepo silaha za maangamizi ya umati nchini Iraq.