-
Iran yaonya kuhusu bidaa zisizo na msingi katika wakala wa IAEA
Mar 04, 2020 08:26Kazem Gharib Abadi, balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika asasi za kimataifa zenye makao yake mjini Vienna Austria amejibu ripoti mpya ya wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) na kusema kuwa, Tehran imo mbioni kuzuia uanzishwaji wa bidaa zisizo na msingi na hatari katika wakala huo.
-
Marekani yafanya mazoezi ya vita vya kinyuklia dhidi Russia
Feb 22, 2020 21:46Jeshi la Marekani limefanya mazoezi ya kuishambulia Russia kwa silaha za nyuklia huku mzozo ukizidi kutokota kati ya madola hayo mawili yenye uwezo mkubwa zaidi wa silaha za nyuklia duniani.
-
Iran yasema iko tayari kwa mazungumzo lakini haikubali kushinikizwa
Feb 12, 2020 04:05Mkuu wa Shirika la Atomiki la Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haijafunga mlango wa kufanya mazungumzo kuhusu mradi wake wa nyuklia lakini katu haiwezi kukubali kuburuzwa na kuwekwa chini ya mashinikizo.
-
Sisitizo la Russia la kupata funzo Korea Kaskazini kupitia ukiukaji ahadi wa Marekani katika makubaliano ya JCPOA
Jan 03, 2020 02:33Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump, Marekani imetanguliza mbele siasa za vitisho sambamba na mazungumzo mkabala na Korea Kaskazini.
-
IAEA yathibitisha; akiba ya maji mazito ya Iran ni zaidi ya tani 130
Nov 19, 2019 04:30Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umethibitisha kuwa akiba ya maji mazito kwenye kinu cha maji mazito cha Arak kilichoko mkoa wa Markazi nchini Iran ni zaidi ya tani 130.
-
Mousavi: Iran inapinga ukiukwaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo
Nov 10, 2019 09:54Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linapinga ukiukaji wowote ule wa mamlaka ya kujitawala mataifa ya eneo hili.
-
Iran inajitegemea kikamilifu katika sekta ya nyuklia
Oct 21, 2019 04:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi sasa inajitegemea kikamilifu katika shughuli zake za nyuklia na haipokei msaada wowote wa kigeni katika uga huo.
-
Kuvunjika mzungumzo ya nyuklia kati ya Marekani na Korea Kaskazini
Oct 07, 2019 06:29Rais wa Marekani Donald Trump wa Marekani, anaendelea na siasa za vitisho na mazungumzo katika fremu ya ahadi zake za uchaguzi za kuutatua mgogoro wa nyuklia wa Rasi ya Korea.
-
Mgogoro wa Kashmir.. Imran Khan atahadharisha juu ya kutokea vita vya dunia vya nyuklia
Aug 31, 2019 22:13Waziri Mkuu wa Pakistan ameeleza wasiwasi wake kuhusu mgogoro unaoendelea kushadidi baina ya nchi hiyo na India na kutahadharisha kwamba, kuna uwezekano wa kutokea vita vipya vya dunia kwa kutumia silaha za nyuklia baina ya nchi hizo mbili.
-
Salehi: Iran inaendelea na miradi yake ya nyuklia kwa nguvu zake zote
Aug 29, 2019 07:45Mkuu wa Taasisi ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa, shughuli za nyuklia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran zinaendelea kwa nguvu zote katika vitengo vyake vyote na kwamba miradi ya nyuklia ya Iran haijawahi kusimamishwa hata mara moja.