Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ya nyuklia

  • Iran kuongeza mara 4 urutubishaji wa urani, kupitisha kiwango cha kilo 300

    Iran kuongeza mara 4 urutubishaji wa urani, kupitisha kiwango cha kilo 300

    Jun 17, 2019 08:12

    Msemaji wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuanzia Juni 27 itapitisha kiwango cha urutubishaji wa urani mara nne zaidi, na kwamba akiba yake ya urani itapita kiwango cha kilo 300 kilichoanishwa kwenye makubaliano ya nyuklia kufikia tarehe hiyo.

  • Zarif akimhutubu Trump; Kiongozi Muadhamu ameshatangaza silaha za nyuklia ni haramu

    Zarif akimhutubu Trump; Kiongozi Muadhamu ameshatangaza silaha za nyuklia ni haramu

    May 27, 2019 23:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumatatu usiku amejibu madai ya Rais Donald Trump wa Marekani kuwa eti Iran inafuatilia silaha za nyuklia na kusema, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshatangaza kuwa silaha za nyuklia ni haramu.

  • Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    Safari ya Trump Japan, Washington kuitumia Tokyo kuanzisha tena mazungumzo na Korea Kaskazini

    May 26, 2019 21:51

    Rais Donald Trump wa Marekani anafanya safari ya siku tatu nchini Japan.

  • Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya kutumika silaha za nyuklia

    Onyo la Umoja wa Mataifa kuhusu hatari ya kutumika silaha za nyuklia

    May 24, 2019 02:35

    Kuwepo maghala ya silaha hatari za nyuklia katika pembe tofauti za dunia, kuongezwa na kuimarishwa silaha hizo na vilevile kujiunga nchi mpya na kundi la nchi zinazomiliki silaha hizo ni jambo linalohatarisha amani na uslama wa dunia.

  • UN: Kuna uwezekano mkubwa wakati huu wa kutumika silaha za nyuklia

    UN: Kuna uwezekano mkubwa wakati huu wa kutumika silaha za nyuklia

    May 22, 2019 02:00

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Umoja wa Mataifa ya Utafiti wa Upokonyaji Silaha UNIDIR amesema hatari na uwezekano wa kutumika silaha za nyuklia duniani hii leo uko juu kuliko wakati mwingine wowote ule.

  • Hatua mpya ya Marekani dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    Hatua mpya ya Marekani dhidi ya makubaliano ya JCPOA

    May 04, 2019 06:38

    Makubaliano ya nyuklia ya JCPOA ni makubaliano muhimu sana katika fremu ya kulinda amani na usalama wa kimataifa; hata hivyo tarehe 8 mwezi Mei mwaka jana Marekani ilijitoa kwenye makubaliano hayo. Serikali ya Trump mwezi Agosti na Novemba mwaka 2018 katika marhala mbili iliiwekea tena Iran vikwazo vya nyuklia; na ingali inaendeleza mashinikizo ya vikwazo dhidi ya Tehran.

  • Kamati ya Nyuklia ya Iran: Tutajiondoa NPT, JCPOA iwapo tutaendelea kuwekewa vikwazo

    Kamati ya Nyuklia ya Iran: Tutajiondoa NPT, JCPOA iwapo tutaendelea kuwekewa vikwazo

    May 01, 2019 03:07

    Mwenyekiti wa Kamati ya Nyuklia ya Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema iwapo taifa hili litaendelea kukabiliwa na vikwazo, basi Tehran itajitoa katika Mkataba wa Kuzuia Uzalishaji na Uenezaji wa Silaha za Atomiki (NPT) sambamba na makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Bunge la Uingereza latahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia duniani

    Bunge la Uingereza latahadharisha juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia duniani

    Apr 26, 2019 02:08

    Kamati ya Mahusiano ya Kimataifa ya Bunge la Uingereza imetoa taarifa inayoonya juu ya uwezekano wa kutokea vita vya silaha za nyuklia kati ya nchi zenye silaha hizo.

  • Sisitizo la Yukiya Amano la ulazima wa kukaguliwa miradi ya nyuklia ya Saudi Arabia

    Sisitizo la Yukiya Amano la ulazima wa kukaguliwa miradi ya nyuklia ya Saudi Arabia

    Apr 07, 2019 23:35

    Katika miaka ya hivi karibuni Saudi Arabia imeanzisha juhudi kubwa za kupata teknolojia ya nyuklia. Utawala wa Aal-Saud unaungwa mkono wazi wazi na madola ya Magharibi hususan Marekani katika juhudi zake hizo. Muda wote huu, harakati hizo za pupa za Saudia katika wigo wa nyuklia zimekuwa zikifanyika kwa siri na bila kusimamiwa na taasisi za kimataifa kama Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA).

  • Yukiya Amano: Saudia ituwekee dhamana kuhusiana na miradi yake ya nyuklia

    Yukiya Amano: Saudia ituwekee dhamana kuhusiana na miradi yake ya nyuklia

    Apr 06, 2019 21:56

    Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) Yukiya Amano ameitaka Saudi Arabia kuweka dhamana za kiusalama kuhusiana na kinu chake cha kwanza cha nyuklia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS