Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ya nyuklia

  • Marekani yaafiki kuiuzia Saudi Arabia teknolojia ya siri ya nyuklia

    Marekani yaafiki kuiuzia Saudi Arabia teknolojia ya siri ya nyuklia

    Mar 28, 2019 03:30

    Taarifa zilizofichuka zimebaini kuwa, Marekani imeuuzia utawala wa Saudi Arabia siri za nyuklia.

  • Tanzania yasema imeimarisha usimamizi wa matumizi salama ya nyuklia

    Tanzania yasema imeimarisha usimamizi wa matumizi salama ya nyuklia

    Mar 12, 2019 04:31

    Serikali ya Tanzania kupitia Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imefanikiwa kuimarisha usimamizi na udhibiti wa matumizi ya teknolojia ya nyuklia nchini humo.

  • Marekani inaipa Saudia teknolojia ya silaha za nyuklia

    Marekani inaipa Saudia teknolojia ya silaha za nyuklia

    Feb 20, 2019 04:27

    Ripoti ya Bunge la Kongresi nchini Marekani imebaini kuwa utawala wa Donald Trump uko mbioni kuikabidhi Saudi Arabia teknolojia ya siri ya kuunda silaha za nyuklia.

  • Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia

    Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia

    Feb 03, 2019 03:31

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa ushirikiano kati ya Iran na Ulaya katika miradi mbalimbali ya kinyuklia unapiga hatua nzuri.

  • Salehi: Iran iko tayari kushirikiana na nchi za eneo hili katika suala la nyuklia

    Salehi: Iran iko tayari kushirikiana na nchi za eneo hili katika suala la nyuklia

    Jan 27, 2019 23:14

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kushirikiana na nchi zote za eneo hili katika suala la nishati ya atomiki.

  • Salehi: Iran itaendelea na miradi yake ya nyuklia kwa nguvu zake zote

    Salehi: Iran itaendelea na miradi yake ya nyuklia kwa nguvu zake zote

    Jan 23, 2019 04:26

    Mkuu wa taasisi ya Nishati ya Atomiki ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaendelea na miradi yake ya nyuklia katika nyuga za utafiti, uvumbuzi, urutubishaji urani, ujenzi wa vinu na mashinepewa (centrifuge) mpya kwa nguvu zake zote.

  • Iran yapata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia + Video

    Iran yapata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia + Video

    Jan 13, 2019 12:57

    Mkuu wa Shirika la Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ali Akbar Salehi amesema nchi yake imeweza kupata mafanikio mapya katika uga wa teknolojia ya nyuklia kwa kuchukua hatua za awali za kutegeneza asilimia 20 ya fueli ya nyuklia.

  • Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani

    Nov 30, 2018 03:55

    Kenya imeomba msaada wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuisaidia kuimarisha matibabu ya saratani katika hospitali mbili kubwa nchini humo na pia kueneza huduma hizo za matibabu katika miji mingine mitatu.

  • Salehi: Msimamo wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA si wa maana

    Salehi: Msimamo wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA si wa maana

    Nov 26, 2018 23:11

    Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa msimamo wa Mrekani wa kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA si wa maana na ni kwamba, msimamo huo unaonesha jinsi Marekani isivyo na mwamana katika ahadi zake za kimataifa.

  • IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA

    Nov 23, 2018 04:29

    Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS