-
Kenya yaomba msaada wa IAEA kutumia teknolojia ya nyuklia kutibu saratani
Nov 30, 2018 03:55Kenya imeomba msaada wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuisaidia kuimarisha matibabu ya saratani katika hospitali mbili kubwa nchini humo na pia kueneza huduma hizo za matibabu katika miji mingine mitatu.
-
Salehi: Msimamo wa Marekani wa kujitoa katika JCPOA si wa maana
Nov 26, 2018 23:11Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa msimamo wa Mrekani wa kujitoa katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA si wa maana na ni kwamba, msimamo huo unaonesha jinsi Marekani isivyo na mwamana katika ahadi zake za kimataifa.
-
IAEA yasisitiza tena kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Nov 23, 2018 04:29Kwa mara nyingine tena, Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umethibitisha kwamba, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetekeleza majukumu na ahadi zake zote chini ya makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Marekani, adui wa amani na usalama wa dunia
Oct 25, 2018 23:04Uamuzi uliochukuliwa na Rais Donald Trump wa Marekani wa kujiondoa katika mkataba wa silaha za nyuklia za masafa ya kati (INF) ambao umechukuliwa katika fremu ya sera za Trump za kujiondoa katika mikataba ya kimataifa, umekabiliwa na upinzani mkubwa wa viongozi wa nchi na jumuiya mbalimbali za kimataifa.
-
Wamarekani: Korea Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia!
Oct 06, 2018 22:56Watafiti kadhaa ya Marekani wamedai kwamba, uchunguzi wao umebaini kuwa Korea Kaskazini inaendelea na shughuli zake za nyuklia huku ikiilaumu Washington kuwa inapuuza kutekeleza makubaliano yaliyofikiwa katika mkutano wa viongozi wa nchi hizo mbili mwezi Juni mwaka huu.
-
Onyo la Waziri wa Ulinzi wa Marekani kwa Russia juu ya kukiuka mkataba wa makombora
Oct 06, 2018 04:52Moja kati ya masuala muhimu katika mivutano iliyopo kati ya Marekani na Russia ni mjadala unaohusiana na mkataba wa silaha. Moscow na Washington zina tofauti kubwa katika uwanja wa mkataba wa makombora ya wastani kwa kifupi INF.
-
Baraza Kuu la UN; uwanja wa kukejeliwa Trump, jukwaa la mazingaombwe ya Netanyahu
Sep 28, 2018 10:44Kikao cha kila mwaka cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kimefanyika, huku walimwengu wakijionea igizo jengine la usanii wa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel; utawala ambao una mamia ya vichwa vya nyuklia, silaha ambazo ni tishio na hatari kwa usalama wa dunia. Hata hivyo kutokana na kuungwa mkono na Marekani, utawala huo khabithi hauwajibiki kwa taasisi yoyote ile duniani.
-
Kuvunjwa safari ya Mike Pompeo Korea Kaskazini; nukta ya kubatilika madai ya Trump
Aug 26, 2018 22:48Katika kipindi cha utawala wake nchini Marekani, Rais Donald Trump amejaribu kufanya mabadiliko anayoyaona kuwa makubwa katika uga wa ndani na nje ya nchi hiyo ili kwa njia hiyo aweze kujidhihirisha kuwa rais anayependwa na aliyefanikiwa zaidi katika utekelezaji wa majukumu yake nchini humo.
-
IAEA: Korea ya Kaskazini haijasimamisha miradi yake ya nyuklia
Aug 21, 2018 10:47Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) umetangaza kuwa hakuna kiashiria chochote kinachoonyesha kuwa shughuli za nyuklia za Korea ya Kaskazini zimesimamishwa.
-
Larijani: Adui hawezi kuzungumza na Iran kwa kutumia lugha ya mabavu
Jul 23, 2018 00:07Spika wa Bunge la Iran amesema kuwa maendeleo ya utengenezaji wa makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ni makubwa kiasi kwamba sasa adui hawezi kuzungumza na Iran kwa kutumia lugha ya vitisho na vita.