-
Harakati za Saudia za kuanzisha taasisi za nyuklia kwa kushirikiana na Marekani
Mar 16, 2018 01:48Baraza la mawaziri la Saudi Arabia limefanya kikao kilichohudhuriwa na Mfalme wa nchi hiyo, Salman bin Abdul Aziz Aal Saud ambacho kimepasisha sera kuu za miradi ya nyuklia ya nchi hiyo, suala ambalo limekuwa na mwangwi mkubwa katika fikra za walimwengu.
-
Vitisho vipya vya Marekani dhidi ya Russia na China
Mar 11, 2018 23:01Jenerali John E. Hyten Mkuu wa Kamandi ya Kistratijia ya Marekani (United States Strategic Command) sambamba na kubainisha kwamba China na Russia hazifahamu mahala zilipo nyambizi za nyuklia za Marekani, amesisitiza kuwa, nchi yake ina uwezo wa kuzisababishia hasara kubwa nchi hizo kwa kutumia makombora ya kutoka bara hadi bara yaliyomo kwenye nyambizi hizo.
-
Korea Kaskazini: Trump na viongozi wengine wa Marekani wanaogopa silaha zetu za nyuklia
Feb 13, 2018 04:32Serikali ya Korea Kaskazini imekitaja kitendo cha marekani cha kumwalika raia mmoja wa Korea Kaskazini aliyetoroka nchi sambamba na kusafiri naye baba wa mwanafunzi mmoja aliyefariki dunia kumpeleka katika michuano ya Olimpiki ya msimu wa baridi kali huko Korea Kusini kuwa kimetokana na woga wa Washington juu ya uwezo wa silaha za nyuklia wa Pyongyang.
-
Shughuli za kijeshi za nyuklia za utawala wa Kizayuni, chanzo cha wasiwasi wa jamii ya kimataifa
Nov 26, 2017 03:51Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA), amesema shughuli za nyuklia za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa mataifa ya eneo la Mashariki ya Kati na jamii ya kimataifa kwa ujumla.
-
Mpango wa nyuklia wa utawala wa Israel ni hatari kwa usalama na amani duniani
Nov 25, 2017 04:12Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, IAEA, amesema shughuli za nyuklia za kijeshi za utawala wa Kizayuni wa Israel ni chanzo kikuu cha wasiwasi wa mataifa ya eneo na jamii ya kimataifa.
-
Iran itaendelea kushirikiana na IAEA, kufungamana na JCPOA
Oct 30, 2017 04:30Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema kuna haja Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) uendelee kuwa chombo huru na kisichoegemea upande wowote akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu itaendelea kuimarisha ushirikiano wake na wakala huo.
-
Korea Kaskazini: Marekani ndio iliyoanzisha mchezo wa nyuklia, tutakabiliana nayo
Oct 21, 2017 12:57Afisa wa ngazi ya juu wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Korea Kaskazini amesema kuwa, Pyongyang itaendelea kujiimarisha zaidi kwa silaha za nyuklia kwa ajili ya kukabiliana na vitisho vya Marekani.
-
Korea Kaskazini: Vita ya nyuklia vinaweza kutokea wakati wowote ule
Oct 19, 2017 00:33Mwakilishi wa kamisheni kuu ya Korea Kaskazini katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, ni suala linalowezekana sana kutokea kwa vita vya nyuklia katika Rasi ya Korea, kutokana na kuendelea maneva ya kijeshi ya Marekani na Korea Kusini katika eneo hilo.
-
Wananchi wa Marekani wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini
Sep 25, 2017 23:19Uchunguzi wa maoni uliofanywa hivi karibuni nchini Marekani unaonyesha kuwa aghalabu ya wananchi wanapinga kushambuliwa kijeshi Korea ya Kaskazini.
-
Mapatano ya kuzuia silaha za nyuklia yatiwa saini katika Umoja wa Mataifa
Sep 21, 2017 02:49Nchi 51 zimetia saini mapatano mapya ya kimataifa ya kupiga marufuku silaha za nyuklia.