-
Kikao cha Bodi ya Magavana wa IAEA, Majukumu na Matarajio
Sep 12, 2017 02:38Kikao cha Bodi ya Magavana wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA kilifanyika jana Jumatatu katika makao makuu ya wakala huo mjini Vienna, Austria.
-
Madai ya uhusiano wa nyuklia wa Iran na Korea Kaskazini; kelele mpya kuhusu shughuli za nyuklia za Iran
Sep 11, 2017 06:56Afisa mmoja wa serikali ya Uingereza amedia kuwa Iran imeisaidia Korea Kaskazini kuimarisha uwezo wake wa silaha za nyuklia.
-
Korea Kaskazini yasherehekea majaribio ya bomu la nyuklia
Sep 07, 2017 03:26Sherehe kubwa zimefanyika nchini Korea Kaskazini kuwaenzi wanasayansi waliofanikisha majaribio makubwa zaidi ya bomu la nyuklia kuwahi kufanyika nchini humo.
-
Korea Kaskazini yafanyia majaribio kwa mafanikio bomu la nyuklia la Hydrogen
Sep 03, 2017 03:09Korea Kaskazini imefanyia majaribio kwa mafanikio bomu la nyuklia, hili likiwa ni jaribio la sita la aina hii kufanywa na Pyongyang.
-
Ripoti mpya ya SIPRI kuhusiana na kuongezeka silaha za nyuklia
Jul 05, 2017 03:38Ripoti mpya ya Taasisi ya Kimataifa ya Utafiti wa Amani ya Stockholm (SIPRI) inaonyesha kuwa, mwenendo wa uwekezaji katika masuala ya silaha za nyuklia kwa ajili ya kuzifanya silaha hizo kuwa za kisasa umeongezeka duniani.
-
Putin: Hakuna atakayepona katika vita vya nyuklia vya Marekani na Russia
Jun 07, 2017 02:46Rais Vladimir Putin wa Russia ametahadharisha kuwa, iwapo Marekani itaamua kuingia katika vita vya nyuklia na nchi yake, hakuna upande utakaopona 'kusherehekea' ushindi.
-
IAEA yasisitiza kuwa Iran imefungamana na JCPOA
Jun 03, 2017 03:21Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA umetoa ripoti na kwa mara nyingine umethibitisha kuwa Iran imeheshimu kikamilifu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.
-
Afrika Kusini kusaini mikataba ya ujenzi wa vituo vya umeme wa nyuklia
May 13, 2017 09:10Afrika Kusini inatazamiwa kusaini mikataba mipya na yenye uwazi na nchi tano kuhusu ujenzi wa vituo vya kuzalisha umeme wa nyuklia.
-
Kundi la G7 lapokea vizuri juhudi za Iran za kutafuta suluhisho la kisiasa la migogoro
Apr 11, 2017 23:25Mawaziri wa Mambo ya Nje wa nchi saba za viwanda duniani maarufu kwa jina la kundi la G7 wamepokea vizuri juhudi za Iran za kuitafutia utatuzi wa kisiasa migogoro wa Mashariki ya Kati
-
Hujuma ya Marekani Syria inaweza sababisha vita vya nyuklia
Apr 11, 2017 00:56Mbunge mmoja nchini Russia amelaani vikali hujuma ya hivi karibuni ya Marekani nchini Syria na kuonya kuwa hujuma hiyo yamkini ikaibua vita vya nyuklia duniani.