-
Putin: Madai ya urongo ya magharibi kuhusu miradi ya nyuklia ya Iran yamefikia mwisho
Jun 30, 2016 22:17Rais Vladmir Putin wa Russia amesema kuwa, madai ya urongo ya nchi za Magharibi dhidi ya miradi ya kuzalisha nishati ya nyuklia kwa matumizi ya amani nchini Iran yamefikia tamati.
-
Miradi ya nyuklia ya Iran katika njia ya ustawi na maendeleo
May 31, 2016 07:21Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran ametangaza habari ya kuandaliwa mazingira mazuri ya kuzalishwa isotopu (atomu zenye uzito tofauti na atomu nyingine) endelevu kwa ushirikiano na Russia katika taasisi za nyuklia za Iran.
-
Wajapan waandamana kulaani ziara ya Rais wa Marekani Hiroshima
May 27, 2016 23:19Maelfu ya wananchi wa Japan wameandamana kulaani kitendo cha Rais Barack Obama wa Marekani cha kukataa kuomba radhi kwa jinai zilizofanywa na nchi yake za kuishambulia kwa mabomu ya nyuklia miji ya Hiroshima na Nagasaki ya nchi hiyo.
-
Korea Kaskazini: Tukishambuliwa; tutatumia silaha za nyuklia kujilinda
May 08, 2016 09:32Kiongozi wa Korea ya Kaskazini amesema kuwa, nchi yake haitatumia silaha za nyuklia lakini endapo itashambuliwa, basi itatumia silaha hizo kwa ajili ya kujilinda.
-
Kenya yatathmini teknolojia ya kuzalisha umeme wa nyuklia
May 03, 2016 03:00Kenya imetangaza kuanzisha tathmini kuhusu ni teknolojia ipi ya nyuklia itumike ili kujenga kinu cha nyuklia nchini humo.
-
Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia; Jitihada za Kujitosheleza
Apr 07, 2016 06:45Maadhimisho ya Siku ya Kitaifa ya Teknolojia ya Nyuklia yamefanyika leo katika hafla maalumu iliyodhuhuriwa na Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislam ya Iran sambamba na kuzinduliwa mafanikio kadhaa ya nyuklia.