Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Zanzibar

  • Maalim Seif kuishitaki serikali ya Zanzibar ICC hii leo

    Maalim Seif kuishitaki serikali ya Zanzibar ICC hii leo

    Jul 22, 2016 03:41

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF), Maalim Seif Sharif Hamad anatazamiwa kuwasilisha mashtaka dhidi ya serikali ya Zanzibar hii leo mbele ya Mahakama ya Uhalifu ya Kimataifa (ICC).

  • Serikali: Mripuko wa kipindupindu umeua watu 45 Zanzibar

    Serikali: Mripuko wa kipindupindu umeua watu 45 Zanzibar

    Apr 28, 2016 10:45

    Wizara ya Afya ya Zanzibar imesema kwa akali watu 45 wamepoteza maisha kutokana na mripuko wa kipindupindu tangu mwezi uliopita wa Machi hadi sasa.

  • Shein ateua baraza la mawaziri, asema hatishwi na 'kelele' za CUF

    Shein ateua baraza la mawaziri, asema hatishwi na 'kelele' za CUF

    Apr 10, 2016 03:26

    Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dakta Ali Mohamed Shein ametangaza Baraza la Mawaziri lenye wizara 13 huku akisema kuwa hababaishwi na hatua ya chama kikuu cha upinzani visiwani humo CUF kutoitambua serikali yake.

  • Dakta Shein aapishwa kushika hatamu ya uongozi Zanzibar

    Dakta Shein aapishwa kushika hatamu ya uongozi Zanzibar

    Mar 24, 2016 11:53

    Rais mteule wa Zanzibar, Dakta Ali Mohamed Shein ameapishwa leo kushika hatamu ya uongozi visiwani humo. Dakta Shein ameapishwa leo kufuatia ushindi alioupata Jumapili iliyopita wa kura 299,982 sawa na asilimia 91.4 ya kura zote halali 328,327 zilizopigwa katika uchaguzi marudio.

  • Jamii ya Kimataifa yatoa wito wa mazungumzo Zanzibar baada ya uchaguzi

    Jamii ya Kimataifa yatoa wito wa mazungumzo Zanzibar baada ya uchaguzi

    Mar 22, 2016 00:29

    Jamii ya Kimataifa imetoa wa kuendelea kutafutwa ufumbuzi wa kisiasa Zanzibar licha ya kurudiwa uchaguzi mkuu katika visiwa hivyo ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

  • Jamii ya Kimataifa yatoa wito wa mazungumzo Zanzibar baada ya uchaguzi

    Jamii ya Kimataifa yatoa wito wa mazungumzo Zanzibar baada ya uchaguzi

    Mar 21, 2016 23:07

    Jamii ya Kimataifa imetoa wa kuendelea kutafutwa ufumbuzi wa kisiasa Zanzibar licha ya kurudiwa uchaguzi mkuu katika visiwa hivyo ambavyo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania.

  • Shein ashinda uchaguzi wa rais Zanzibar kwa 91%, Maalim Seif 1.9% licha ya kususia

    Shein ashinda uchaguzi wa rais Zanzibar kwa 91%, Maalim Seif 1.9% licha ya kususia

    Mar 21, 2016 11:45

    Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC imemtangaza mgombea wa kiti cha rais kupitia Chama cha Mapinduzi CCM, Dakta Ali Muhammed Shein kuwa mshindi wa uchaguzi wa marudio uliofanyika jana visiwani humo.

  • Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi Zanzibar

    Kura zahesabiwa baada ya uchaguzi Zanzibar

    Mar 20, 2016 12:21

    Zoezi la kuhesabu kura linaendelea visiwani Zanzibar baada ya uchaguzi kufuatia matokeo ya uchaguzi uliofanyika tarehe 25 Oktoba 2015 kufutwa na tume ya uchaguzi ya visiwa hivyo ZEC.

  • Uchaguzi wa marudio Zanzibar unafanyika kesho Jumapili

    Uchaguzi wa marudio Zanzibar unafanyika kesho Jumapili

    Mar 19, 2016 13:13

    Uchaguzi uliofutwa mwaka jana katika visiwa vya Zanzibar ambayo ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unatarajiwa kufanyika Jumapili ya kesho huku Tume ya Uchaguzi (ZEC) ikitangaza kuwa, maandalizi yote kwa ajili ya uchaguzi huo yamekamilika.

  • CCM: Uchaguzi ni suluhu ya mzozo wa Zanzibar

    CCM: Uchaguzi ni suluhu ya mzozo wa Zanzibar

    Mar 19, 2016 04:13

    Wananchi wa Zanzibar kesho Jumapili wanatazamiwa kuelekea kwenye masanduku ya kupiga kura katika uchaguzi wa marudio visiwani humo, ambao utashirikisha wagombea wa urais na wagombea wa ujumbe wa Baraza la Wawakilishi kutoka vyama mbalimbali.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS