-
Zarif: Ukatili wa Marekani dhidi ya watu wa Iran unaendelezwa kwa ugaidi wa kiuchumi
Jul 04, 2021 13:21Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria namna Marekani ilivyowaua raia wasio na hatia kwa kutungua kwa kombora ndege ya abiria ya Iran Air na kuandika katika ukurasa wake wa Twitter kuwa: "Ukatili wa Marekani dhidi ya watu wa Iran sasa unaendelezwa kupitia ugaidi wa kiuchumi."
-
Zarif: Netanyahu naye pia ametupwa katika jaa la taka za historia; Iran inasimama kwa heshima
Jun 04, 2021 08:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Mohammad Javad Zarif ameashiria mchakato wa kuondolewa Benjamin Netanyahu katika nafasi ya waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel na kusema, Netanyahu pia ametupwa katika jaa la taka za historia.
-
Zarif: Uvamizi wa Israel umethibitisha kwamba, kuanzisha uhusiano na Israel hakuna faida
May 21, 2021 08:16Waziri wa Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haki ya Wapalestina ya kujitetea mbele ya dhulma na ukandamizaji wa utawala wa kiapathaidi wa Israel na kusema kuwa, kuporwa na kughusubiwa kitongoji kingine cha Waarabu pambizoni mwa Msikiti wa al-Aqswa kumethibitisha kwamba, kuanzisha uhusiano wa kawaida baadhi ya nchi za Kiarabu na Israel hakuna faida yoyote.
-
Zarif akosoa siasa za kindumakuwli na kibaguzi za Ufaransa
Apr 29, 2021 09:54Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhurii ya Kiislamu ya Iran amezungumzia majaribio ya makombora yaliyofanywa na Ufaransa na juhudi za Paris na baadhi ya nchi za Magharibi za kutaka kubana miradi ya kutengeneza makombora ya Iran na kuandika kuwa; Inaonekana kuwa, siasa za kibaguzi na kindumakuwili ni jambo linalowezekana.
-
Zarif: Vita dhidi ya janga la kimataifa la corona vinahitajia ushirikiano wa dunia nzima
Apr 25, 2021 11:12Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesem kuwa, kukomeshwa kwa janga la kimataifa la virusi vya corona kunahitajia ushirikiano wa diunia nzima.
-
Iran: Ni sisi tu undio tuliotekeleza mapatano ya nyuklia ya JCPOA
Mar 10, 2021 07:14Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amegusia jinsi nchi za Ulaya na Marekani zilivyoshindwa kutekeleza mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kusisitiza kuwa, ni Iran pekee ndiyo iliyotekeleza makubaliano hayo ya kimataifa.
-
Iran: Ni Marekani ndiyo iliyojitoa katika JCPOA na ndiyo yenye wajibu wa kurejea
Feb 12, 2021 03:08Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kusisitiza tena kwamba ni Marekani ndiyo iliyojitoa katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA na ndiyo yenye wajibu wa kuchukua hatua za kwanza za kurejea kwenye makubaliano hayo, amesema, serikali ya Biden huko Marekani bado haijajua ifuate siasa zipi wakati siasa za Iran ziko wazi kabisa.
-
Zarif: Magaidi wa Septemba 11 walitoka katika nchi anayoipenda Pompeo
Jan 13, 2021 07:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa radiamali kuhusu madai yasiyo na msingi ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ambaye ameifungamanisha Iran na kundi la kigaidi la Al Qaeda na kusisitiza kuwa: "Magaidi wote wa Septemba 11 walitoka katika nchi anazozipenda Mike Pompeo katika Mashariki ya Kati (Asia Magharibi).
-
Zarif: Mauaji ya Hajj Qassem yanaonesha uchochole wa kupindukia wa Trump
Jan 04, 2021 07:53Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amegusia namna rais wa Marekani Donald Trump alivyotoa amri ya kuuliwa kiwogawoga, shahid Qassem Soleimani, na kusema kuwa, shambulio hilo la anga linaonesha uchochole wa kupindukia wa Donald Trump ambaye ameshindwa kupambana na shujaa huyo katika medani ya mapambano na badala yake alimvizia kiwogawoga uraiani na kumuua.
-
Indhari ya Zarif; kivuli kizito cha sheria ya bunge la Iran kwa pande shiriki katika mapatano ya JCPOA
Dec 05, 2020 09:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa sheria ya hatua za kistratejia kwa ajili ya kuondoa vikwazo itatekelezwa iwapo pande shiriki katika mapatano ya JCPOA hazitatekeleza majukumu yao.