• Shughuli za maziko ya shahidi Fakhrizadeh zafanyika mjini Tehran

    Shughuli za maziko ya shahidi Fakhrizadeh zafanyika mjini Tehran

    Nov 30, 2020 07:33

    Shughuli ya maziko ya mwili wa shahid Mohsen Fakhrizadeh, mwanasayansi mkubwa wa nyuklia na masuala ya kijeshi wa Iran imeanza leo Jumatatu kwa kuchungwa protokali zote za kiafya ili kujiepusha na maambukizi ya corona.

  • Zarif: Marekani inataka kuibua mashindano ya silaha duniani

    Zarif: Marekani inataka kuibua mashindano ya silaha duniani

    Oct 23, 2020 03:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hatua ya Marekani kukataa kuongeza muda wa mkataba wa kupunguza silaha haribifu ni mfano wa wazi wa kutofungamana Marekani na mchakato wa kuleta uthabiti duniani na pia ni ishara ya nchi hiyo kuwa na hamu kubwa ya kuanzisha mashindano ya silaha duniani.

  • Tarehe 20 Septemba; Marekani kupata pigo jingine?

    Tarehe 20 Septemba; Marekani kupata pigo jingine?

    Sep 19, 2020 04:27

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hakuna kitu kipya kitakachotokea kesho tarehe 20 Septemba na kwamba, inamtosha kwa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani kulisoma azimio nambari 2231 la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Umbumbumbu wa Marekani katika masuala ya sheria, wameshindwa na sasa wanatoa vitisho

    Umbumbumbu wa Marekani katika masuala ya sheria, wameshindwa na sasa wanatoa vitisho

    Aug 29, 2020 10:18

    Waziri wa Mambo ya Nchi za Nje wa Iran amekosoa jitihada zinazofanywa na Marekani kwa ajili ya kurejesha vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran kuanzia tarehe 20 Oktoba mwaka huu wa 2020 na kusema: Viongozi wa serikali ya Marekani ni mbumbumbu katika masuala ya sheria na hawajui lolote kuhusiana na tendaji wa Umoja wa Mataifa.

  • Zarif: Tunataka tuwe na uhusiano mzuri na IAEA

    Zarif: Tunataka tuwe na uhusiano mzuri na IAEA

    Aug 26, 2020 03:17

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameandika katika mtandao wa kijamii wa Twitter kwamba ziara ya Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia IAEA hapa nchini ilikuwa na mafanikio makubwa na kusisitiza kuwa, Tehran inataka kuwa na uhusiano wa kawaida na mzuri na wakala huo na kuonya kuhusu ukwamishaji mambo unaofanywa na maadui.

  • JCPOA na utaratibu wa

    JCPOA na utaratibu wa "Snapback Mechanism", Marekani katika mkwamo wa Baraza la Usalama

    Aug 22, 2020 02:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amepinga hatua inayokiukaji sheria ya Marekani ya kutaka kutumia vibaya taratibu zilizowekwa kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA za kurejesha upya vikwazo vya silaha dhidi ya Iran.

  • Sisitizo la Zarif kuhusu kusainiwa upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu wa Iran na Russia

    Sisitizo la Zarif kuhusu kusainiwa upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu wa Iran na Russia

    Aug 03, 2020 03:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesistiiza kuhusu umuhimu wa kutiwa saini upya mapatano ya ushirikiano wa muda mrefu baina ya Iran na Russia katika uga wa uhusiano wa kistratijia.

  • Zarif: Magharibi inapaswa iache kuwapa hifadhi na kuwasaidia kifedha magaidi

    Zarif: Magharibi inapaswa iache kuwapa hifadhi na kuwasaidia kifedha magaidi

    Aug 02, 2020 03:30

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitizia ulazima wa nchi za Magharibi kuacha kuyahami na kuyaunga mkono magenge ya kigaidi yanayopinga Mapinduzi na akasema: Kutokea kwenye maficho yao walikopewa hifadhi ndani ya Marekani na Ulaya, magaidi wanaandaa machafuko na mauaji ya raia wa Iran.

  • Dakta Muhammad Javad Zarif: Saudi Arabia haitaki uhusiano ulio sawa na Iran

    Dakta Muhammad Javad Zarif: Saudi Arabia haitaki uhusiano ulio sawa na Iran

    Jul 22, 2020 07:55

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuwa na uhusiano mzuri na Saudi Arabia, lakini inasikitisha kuwa, serikali ya Riyadh haitaki kuweko uhusiano ulio sawa baina yake na Iran.

  • Indhari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa nchi za Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Indhari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran kwa nchi za Ulaya kuhusiana na JCPOA

    Jun 19, 2020 11:51

    Ripoti iliyotolewa hivi karibuni na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) kuhusu mpango wa nyuklia wa Iran imefanywa kisingizio na nchi tatu za Ulaya zilizomo kwenye makubaliano ya nyuklia ya JCPOA cha kukitumia katika Baraza la Magavana la wakala huo.