-
Ujumbe wa shukurani wa Kiongozi Muadhamu kwa ukarimu wa taifa na serikali ya Iraq katika Arubaini ya Imamu Hussein (as)
Sep 11, 2024 13:04Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa shukurani zake kwa wenye mawkib na taifa kubwa la Iraq katika kipindi cha kumbukumbu ya Arubaini ya Imam Hussein (as).
-
Nasrullah: Operesheni ya kulipiza kisasi dhidi ya utawala wa Kizayuni ni "Operesheni ya Siku ya Arubaini"
Aug 26, 2024 03:37Sayyid Hassan Nasrullah, Katibu Mkuu wa Hizbullah ya Lebanon ameipa operesheni kubwa iliyotekelezwa na harakati hiyo siku ya Jumapili dhidi ya utawala wa Kizayuni jina la "Operesheni ya Siku ya Arubaini" na kueleza kwamba, ilifanyika kwa mafanikio.
-
Kan'ani: Matembezi ya Arubaini ni nembo ya wazi ya kubakia milele haki na kutoweka batili
Aug 25, 2024 12:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, mkusanyiko mkubwa na usio na kifani katika matembezi ya Arubaini ya Imam Husain AS ni ushahidi wa wazi wa kubakia milele haki na kuangamia batili na dhulma.
-
Imam wa Ghana: Arubaini ni nembo ya haki na kupinga dhulma
Aug 21, 2024 11:53Msomi mmoja mashuhuri wa Kiislamu nchini Ghana amesema matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein AS katika mji mtukufu wa Karbala nchini Iraq ni nembo ya mapambano ya haki na kusimama kidete dhidi ya dhulma na maonevu.
-
Mazuwari 28 raia wa Pakistan waaga dunia katika ajali ya basi Iran
Aug 21, 2024 11:53Raia 28 wa Pakistan wamepoteza maisha huku makumi ya wengine wakijeruhiwa baada ya basi lililokuwa limewabeba kubingiria katika kaunti ya Taft, mkoani Yazd, katikati ya Iran. Mazuwari hao walikuwa wakielekea katika mji mtakatifu wa Karbala nchini Iraq kwa ajili ya kushiriki Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Baadhi ya Wairani kwenda Arubaini, Iraq kwa njia ya bahari
Aug 15, 2024 07:43Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imefungua njia ya baharini kutoka Bandari ya Khorramshahr, Magharibi mwa Iran hadi Bandari ya Basra nchini Iraq kwa ajili ya safari ya majini ya Mazuwari wa Kiirani wanaoenda kushiriki Arubaini ya Imam Hussein AS.
-
Iran ya Kiislamu yaghariki kwenye Tasua ya Imam Hussein AS
Jul 15, 2024 10:51Waislamu katika Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na maeneo mengine ya dunia leo tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram wameshiriki katika vikao, marasimu, majlisi na shughuli mbali mbali za maombolezo ya Tasua ya Imam Hussein AS, mjukuu wa Mtume wetu Muhammad SAW.
-
Ayatullah Khatami: Matembezi ya Arubaini ni shughuli ya kiroho ya aina yake
Sep 15, 2023 12:09Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa hapa Tehran hii leo amesema matembezi ya Arubaini ya Imam Hussein (AS) ni zoezi la kimaanawi la aina yake na lisilo na mfano.
-
Dhihirisho la Umoja katika maombolezo ya Arubaini ya Imam Hussain AS nchini Kenya
Sep 11, 2023 12:36Maombolezi ya Arubaini ya Imam Husseini (AS) huko Nairobi, Kenya, yamefanyika kwa kuhudhuriwa na Waislamu wa madhehebu za Kishia na Kisuni.
-
Waislamu Ghana wafanya matembezi ya amani kuadhimisha Arubaini
Sep 10, 2023 10:49Maelfu ya Waislamu ya madhehebu ya Shia nchini Ghana wamefanya matembezi ya amani ya kuadhimisha Arubaini ya Imam Hussein (AS).