4958
Jumanne, Pili Dhulhija 1447 Hijria, 19 Mei 2026.
Leo ni Jumanne tarehe Pili Dhulhija 1447 Hijria mwafaka na 19 Mei 2026.
Siku kama ya leo miaka Miaka 505 iliyopita, majeshi ya utawala wa kifalme wa Othmania yaliuteka mji muhimu wa Belgrade, uliokuwa mji mkuu wa Yugoslavia ya zamani.