19
Watafiti wa Kenya, Tanzania, Uhispania kuboresha mihogo
Wakaazi wa Afrika Mashariki wataweza kupata mihogo bora zaidi kuliko ilivyo hivi sasa kutokana na ushirikiano wa watafiti wa Kenya, Tanzania na Uhispania. Hayo ni kati ya yaliyomo katika makala yetu ya leo ya sayansi na teknolojia.